Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama chameleon amepewa dola 50,000 je faida ya hiyo filamu ikiingia sokoni itakuwa ngapi? jumlisha na gharama ku-shoot USA.
Bajeti ya hiyo filamu ni dola million 14.Ndio mimi jibu langu ni kuwa unahisi walt Disney hawwezi lulipa usd 50000 kwani watapata hasara. Kwa taarifa tu gharama za maandalizi tu ilikuwa zaidi ya dola millioni moja na nusu
Nope, beat always ni ya producer. Ndiye anayetunga hiyo beat na haki ya umiliki wa producer inalindwa na copyright laws. Ni kama wewe ununue software mfano Windows 10, una haki ya kuitumia lakini sio kuuza wala kumpatia bure mtu mwingine maana kwa kununua hiyo CD umenunua haki ya kuitumia na sio umeuziwa umiliki. Hili jambo maproducer wengi ambao hawajaenda shule hawalitambui-wanawaachia beat wasanii ndo wafaidike.Kwani beat hiyo chameleon hakumlipa majani wakati ana mtengenezea huo wimbo? Nadhani wimbo na beat ni mali ya msanii sio vya producer, bila hivyo basi producer itabidi alipwe kila msanii anapoingiza hela kupitia wimbo na hiyo beat. P funk ilifaa awe analipwa kwa kila show ambayo chameleon ameumia huo wimbo na beat, mauzo ya cd, iTunes, ring tones nk.
Yaani zaidi ya bilioni 30 za kibongo, duh!Bajeti ya hiyo filamu ni dola million 14.
Lupita nyongo ni raia wa wapi?
Alishachukua soundbeat ya nikusaidiaje ya prof j. Jamaa utadhani ni mkenya vile kwa kufanya utapeli.Chameleon ni mswahili sana yule Mganda na anajua kweli kutafuta huruma akishaharibu.
Nakumbuka Sakata lake na Shigongo.
Kaka upo?Soggy doggy anter aliishia kutapeliwa tu mweee
Eh kaka bajeti kubwa kinoma. Sidhani kama wakina Alicia Keys wamelipwa kiasi hicho kwa hiyo bajeti. Jose kafanya uhuni hapo.Yaani zaidi ya bilioni 30 za kibongo, duh!
Hapo P Funk akikaa anapata hela ya kununua hata Land Cruiser Amazon used.Eh kaka bajeti kubwa kinoma. Sidhani kama wakina Alicia Keys wamelipwa kiasi hicho kwa hiyo bajeti. Jose kafanya uhuni hapo.
Mutta ndio akichukua pesa, bongo kuna maroroso mengi sanaHivi Saida nae si nyimbo yake ilitumika kwa movie ya Mr.Perry Nani alilipwa kati ya Muta na saida
Bado ni hela ndogo sana! Pharalle Willium Aliiba nae kazi za watu akaambiwa alipe ($ 7.3 Mil) (£ 4.8 Mil) sema P Funk akiwapata wanasheria wazuri anauaga umaskini!Hapo P Funk akikaa anapata hela ya kununua hata Land Cruiser Amazon used.