McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Ndiyo kina nani hao?
Kwa hiyo ni kiki au??Nsiku kama ya Jana mwaka 2005 Kanye alitoa Ile wimbo wa Gold digger na Jana tar 5.07.2017 Rob anamwita Wife ake Gold digger, hizi Coincidence hazijawaimwacha mtu Salama
Hadi state wanatumia 3G kumbe
Kwa hiyo ni kiki au??
Unachoshangaa ni nin lakin most of mitandao ina 4G ikidrop kdogo inakua 3G acha ushamba
Nakuhurumia tu ukiniita mi mshamba
Ndio kina nani hao
blac chyna nae na threesome zake.atakuwa ana pepo la ngono yuleYani leo Rob anatokwa povu toka mchana yan huko insta ni balaaa hakufai katapika yote surgery ya $ 100k yani nimecheka mbaya
blac chyna nae na threesome zake.atakuwa ana pepo la ngono yule
wewe ushawai kupiga threesome?Kawaida sana America kuna maisha mazuri kuna mda unafika kila kitu ushafanya unaanza kujaribu na vingine [HASHTAG]#Nostresszone[/HASHTAG] pia matumizi ya Cocaine yanasababisha hayo hasa Mji wa LA,Cali ni kawaida hayo mambo
wewe ushawai kupiga threesome?
unawashwaSiwezi jibu yes or No coz sio mahala pake na hata kama yes au No ni personal.fullstop