Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Rob analalamika kua chyna hajatulia na kila mara analala na wanaume tofauti. Hebu jionee hapa sijui ni kiki watajua wao.

Screenshot_2017-07-05-22-22-16.png
Screenshot_2017-07-05-22-23-12.png


So Rob anamwaga maubuyu tu kwenye akaunt yake. Mengine jisomeeni wenyewe.

TI kajiongelesha akapewa makavu live! Kumbe usione wenzetu wana maumbile mazuri ni wanafanya surgery. Chyn alivyojifungua tu akaomba pesa kwa Rob za kufanyiwa upasuaji ili umbo liwe lile lile na zuri zaidi huku akidanganya watu kua ni mazoezi hahaha!
----------------

Kutoka kwa mdau, Numbisa:

ROB huko Twitter hana la maana zaidi ya kulia kwamba alimpenda Chyn kumbe Chyna alikwenda kwake kulipia kisasi.

Okay ngoja niwape kistory kifupi;

Black Chyna alikuwa ni mchezaji uchi mwenye Kasino huko Marekani, akawa anampenda sana Nicky Minaj mpaka anaiga swaga zake maisha yake na mamake yalikuwa ya hali ya chini sana..

Mungu sio Athumani akapata zali la kuwa video modo. Akafanya video na Tyga inaitwa Rock City. Tyga akamtamani wakawa wapenzi. Tokea hapo maisha ya Chyna yakabadilika akawa na urafiki na watu maarufu kama akina Kim Kardashian, Amber Rose.

Sasa wakabahatika kupata mtoto mmoja na Tyga, bahati mbaya mapenzi yakaenda kombo baada ya Tyga kukutana na mdogow wake Kim anaitwa Kyie.

Kipindi hicho Kylie ana miaka 17, wakawa na mahusiano na Tyga akambwaga Chyna na Chyna alimpenda sana Tyga.

Ukawa ugomvi kwenye mitandao wanatukanana Chyna anammaind Kim kwanini anamsapoti mdogo wake kumuibia bwana wakati walikuwa friends? Ndipo Chyna akamfuata kaka wa Kim na Kyle, ndio huyo Rob sasa.

Akamseduce, Rob alikuwa lonely wanawake hawamtaki maana ni mnene pia ana kibamia, ila Chyna akajifanya kumpenda. Rob akaingia line, akampa mimba. Kumbe mwenzie alitaka kulipa kisasi cha kwanini mdogo wake kamuibia Bwanaake, hivyo nayeye (kukomoa) analala na kaka yake

Bwana unaambiwa baada ya Kyle kuachana na Tyga, Chyna nae akapunguza mapenzi kwa Rob. Akawa hataki tena mtoto wao. Ndio akawa anamtumia picha na video akiliwa uroda.

Masikini Rob anasema anajuta kwani watu walimsihi ila yeye alimpenda hivyo hivyo Chyna.
 
Dah wamarekani kingereza chao si mchezo "...you a duck"
 
Yani leo Rob anatokwa povu toka mchana yan huko insta ni balaaa hakufai katapika yote surgery ya $ 100k yani nimecheka mbaya
 
Au ni scene za kipindi chao siwaamini ujue,

Now instagram wamefunga acc ya rob pia akahamia twitter wamefuta picha za uchi za Chyna ishakua mzik mnene na kuna uwezekano wa kesi za ku expose nudes za dem wake kule mahakama za LA califonia yan n balaa povu la kufulia nguo za oil chafu
 
Ti nae kala za uso hapo naona ni mziki tena wa TI na mkewe maana ni aibu ingawa ilikua ni 3-some ila ku leak n aibu
 
Yaani hawa wamenichukulia muda wangu instagram leo kuburudika kuwasoma huku na huku na video clips duh

Maisha hayo... naye alinogewa nae tho alijua tabia zake.
 
Now instagram wamefunga acc ya rob pia akahamia twitter wamefuta picha za uchi za Chyna ishakua mzik mnene na kuna uwezekano wa kesi za ku expose nudes za dem wake kule mahakama za LA califonia yan n balaa povu la kufulia nguo za oil chafu
Sasa kwanini wameifuta Rob nae hana kifua,au ndio kachanganyikiwaa ,eti anasema chyna hana pesa anategemea wanaume tu
 
Rob povu lote ilo ni lakuachwa IG wamei shutdown account yake akiendelea twiter nao wataifunga pia
 
Huu ugomvi tulikua tunasubiria Amber Rose aingilie af ukoo mzima wa Kadarshian nao uingie kichwa kichwa pangekua patam haswa Kanye west ndan uwiiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom