Yote hiyo...Kwamba kapata 2% 😂
Kaziiendeleeeee hapo ujue kuna sisi n walee tulioteuliwa na Munguuu sisi n waleEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Itakua upo bize sana na ndoa haujapata muda wa kusoma 😃 pole, next time pitia hadi madesa ya fomu wani.Kwendraaa😂😂
M mpaka nimewaza au wamekosea kutupa paper maqna lile paper linawafaa walimu
Vipi Oral umepangiwa tarehe ngapi!?Au sio ...we maswali umeyaona au unaongea tu... kusema hivo haimaniishi sjui kukokotoa uwe unaelewaa...
Sasa kwanini unalia Lia, ulitaka uletewe maswali ya aina gani!?Au sio ...we maswali umeyaona au unaongea tu... kusema hivo haimaniishi sjui kukokotoa uwe unaelewaa...
Vipi ulitoa ela?Unalizungumziaje suala hili la kuletewa maswali nje ya taaluma Yako..hii Iko sawa kweli...?
Daaah lab technician uliyatimbaaa hahahaa sasa si wanapima kama ulikuwaga unaelewa alaaaa 😕😉Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Memoring and rememberingDunia haina huruma ila o level si umesoma?
Haisaidii hata nkipitia ya std seven...Itakua upo bize sana na ndoa haujapata muda wa kusoma 😃 pole, next time pitia hadi madesa ya fomu wani.