Kimetulamba kwenye written interview

Kimetulamba kwenye written interview

Nilifanyaga moja tu tulikua 200 nafasi 5,nikapita ya kwanza tukabakia 30 nikapita,tukaenda practical nikapita tukabakia 10 hapo ilikua oral kilichotokea tulikua wavulana 6 wasichana 4 tukaambiwa gender lazima itumike kilichotokea hapo sikukijua mpk Leo almost 5yrs ago sijawahi tena kuomba kule kwaurasimu ule
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Kaziiendeleeeee hapo ujue kuna sisi n walee tulioteuliwa na Munguuu sisi n wale
Mod tupe huu wimboo kidogo
 
Daaa

Daaah lab technician uliyatimbaaa hahahaa sasa si wanapima kama ulikuwaga unaelewa alaaaa 😕😉
 
Itakua upo bize sana na ndoa haujapata muda wa kusoma 😃 pole, next time pitia hadi madesa ya fomu wani.
Haisaidii hata nkipitia ya std seven...
Complain yangu ni kwamba usaili ulikuwa nje ya taaluma yangu...Sasa wananiletea lab test za viwandani na shuleni kweli...
Kumbukuka naenda kuhudumia wagonjwa...
Anyway uko wapi....?😁
 
Back
Top Bottom