Hongera mwenyezi mungu akuongozeNishapitaa mbona...labda nijipange na oral interview...
Mimi niliomba zile za transfer na barua ilielekeza kutuma barua njia ya postal so kwenye account tena....daaah!Ukiona hivo ujue hukuchanguliwa mbona pdf ilitemwa ...na taarifa za kuwa selected zipo kwenye account Yako ..
Kumbe huyu ni maabaraHii ya kwenye huu uzi n ile ya cutoff 50 sio hy ya 80
Tunaposema utumishi hawana mzaa huwa hamuelewKwendraaaππ
M mpaka nimewaza au wamekosea kutupa paper maqna lile paper linawafaa walimu
πππππππkwani form two na form three uliruka madarasaβ¦..kula chuma hichoNajuua.najua haswaaa ila we maswali hujayaona unaongea tu kule niku Kukomoana....kwann yasinge base kwenye taalum yangu...
π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺNyuzi za ngono upo active sana, Kuna Uzi flani wa kunyonya mbususu ulikua kinara sana..... Hizo interview waachie wenye nazo
Basi paper umepasua ππππNilisoma..kwani unataka kusemaje ....?
Hahahaha nasikia ilikuwa how to finyia kwa ndani Y ikiwa X iko nje πππππ! Jokes tuu lakini utumishi wanakanda labda usiwe ujapita mikononi mwao aiseeeβ¦..ππππKwa hiyo ile mada topic yako pendwa hawajaiweka hao kweli ni makatili asee
ππππππMtu akifeli intavyuu za utumishi wala simshangai ujue. Maana wapo kukomoa tuu
πππ mwisho alijua ataambiwa atafute thaman ya k ikiwa x iko ndani ya y toa three equal to some, = ili apate jibu three someHahahaha nasikia ilikuwa how to finyia kwa ndani Y ikiwa X iko nje πππππ! Jokes tuu lakini utumishi wanakanda labda usiwe ujapita mikononi mwao aiseeeβ¦..ππππ
Wakitolewa maswala ya speech bado ni kada yao wanapaswa kufahamu! Tena hao wanaweza ulizwa kabisa jinsi ya kuandika barua ya mualikoππππYani mjipange msishangae mntolewa part of speech ππ
πππππππππ mwisho alijua ataambiwa atafute thaman ya k ikiwa x iko ndani ya y toa three equal to some, = ili apate jibu three some
wakamstukia
Huu uzi ni vilio tuuuππππ! Walimu wajiandae na suprise wakijichanganya tuu ni vilio zaidi ya hiviKishawalamba Huko chupi chini.
Afiya afiyaaa afiyaaa chuma Yao njooni Huku tuchome mihogo na mahindi tuchangie Kodi nchii hii bi chura apate nauri ya kuzurura duniani huko ondoeni mind za kuila nchi waliopo kwenye system wanatosha mana wanakula kama lung'wawa
Walimu wanatakiwa kujua kuwa ndugu Mpwayungu Village ana subiri habari zao za mwalimu kuzimia kwenye usailiπππππNa walimu mtakapoitwa kwa usaili mjiandae kabisa kisaikolojia.
Kwa nyomi lenu kutakuwa na machozi kila mtaa