Kimetulamba kwenye written interview

Haisaidii hata nkipitia ya std seven...
Complain yangu ni kwamba usaili ulikuwa nje ya taaluma yangu...Sasa wananiletea lab test za viwandani na shuleni kweli...
Kumbukuka naenda kuhudumia wagonjwa...
Anyway uko wapi....?😁
Unajua maana interview? Hasa za utumishi unatakiwa ujiandae ! Hivi wangekwambia mambo muhimu kwenye kuandika barua ya kirafiki ungesemaje? Ungesema nje ya mada?
 
Woyooooo
Results are out alhamdulilah nimefanikiwa kuvukaπŸ˜„..a Sasa najiandaa na oral interview trh 12
Sjui 60 nimeipatajeπŸ˜„πŸ˜„
Nway me genius πŸ˜„πŸ˜„...woyooooooo
Sasa kasome uko ndio utakutana na ya wagonjwa na kada yako …wanakanda vivilivyo! Swali la kwanza tell us about your self….
 
Nasemaje ujasema bado Kuna watu watapiga 98 izo ndo interview za bongo nyoso aaaaaraaa
 
Narudia kuuliza hizi nafasi ni zile zilizotolewa kwenye Tangazo la transfer la DUCE ambalo deadline ilikuwa tarehe 03/06/2024?.. Je linahusu nafasi zote zilizoombwa hususani zile za " Tutorial assistant na Assistant lectures?"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…