Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aha kwahiyo mizigo mizito wapewe walimu duh nchi ngumu hiiEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Ila wmewakatili San,na ilifanyik wp hyoNa hii Hali yangu + na mbanano ule basi nilikuwa na sweat balaa😂😂
Kwani si tumekubaliana ualimu ni kimbilio la waliofeli na afya no kimbilio la vipanga wa oleve na A level lakini.Kidogo unaendana na taaluma Yao..
umesema???Na alinipa mibaraka yote Leo...+ Morning groly 😄....upo daudi😂
Mzee hiyo kawaida lazima ukutane na kitu kizito akili ikukae sawa, then urudi ukajipange upya kwa ajili ya mashambulizi mapya wakati ujaoEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
🤣🤣🤣🤣no vipanga nikukariri tuKwani si tumekubaliana ualimu ni kimbilio la waliofeli na afya no kimbilio la vipanga wa oleve na A level lakini.
Vipi sasa vipanga wetu mnawasakizia maswali waliofeli O level na A level
Sio vizuri unavyofanyaHivo yani..😁
Hongera sanaaaMzee hiyo kawaida lazima ukutane na kitu kizito akili ikukae sawa, then urudi ukajipange upya kwa ajili ya mashambulizi mapya wakati ujao
Mi nilipigwa na kitu kizito nusu kudata tena bora weye hapo DUCE wengine ilitukuta Dodoma na hapo ushatumia nauli na gesti, dah njia nzima akili imevurugika ukicheki kwenye mfumo tayari ushaambiwa not selected na wenzako wametoboa basi roho inaauuuma
Ila Mungu si athumani siku hao PSRS walijichanganya wakaingia kwenye mfumo, aisee nilifumua fumua viswali vyao vyote na chenchi juu matokeo yanatoka nimekuwa kinara
Kwa jinsi walivyochoma nauli zangu nenda rudi kama zote wakafanya Dodoma pawe kama nyumbani
mbwa wale Oral sikufanya ajizi nilibamiza maswali yao yote, si unajua tena wakati wa Mungu ndio wakati sahihi? Baada ya kutoka nilimshukuru Mungu nikarudisha fuvu kitaani, the rest is history
To cut the long story short; buyu la asali limenikuta bado kuna mikeka mitatu nasikilizia shortlist na wengine wameniita siku naenda kufata barua
Wangechelewa kutoa mkeka tu hata hiyo ningelipua tu, maana kanuni ni haijaisha mpaka iiishe
All the best kwako kwenye vipengele vinavyofuatia
ndio maneno gani unayosema, unajua ni usumbufu gani umeusababishaKwanini?
hawajakutana nayo, au walijua wakutana na swali la msigwa kuhamia ccmWangepewa mtihani topic ya Jinsi ya Kuichakata MALI au reproduction ,basi usingeona anaelalamikia serikali Humu.😅😅
We mke wa mtu unataka ajira ya nini? Uende kushikwa take na coworker huko kazini?Kwendraaa😂😂
M mpaka nimewaza au wamekosea kutupa paper maqna lile paper linawafaa walimu