Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Hongereni haya ijiandae tena na intavyuu nyingine sawaHahahaha unachekesha sana...tulipewa Hadi nauli😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni haya ijiandae tena na intavyuu nyingine sawaHahahaha unachekesha sana...tulipewa Hadi nauli😂
Aminaa kupita ntapita tu najiamini...ila nilichokutana nacho sicho nilichotegemea...halafu madam,
hivi umejuaje kama hayo maswali yalifaa waletewe walimu wa sayansi na sio wewe na wasahiliwa wenzako?
nikisema ulikua unajua ila hukua umejianda ntakua na kosea kweli?
kwaababu mpaka unajua hiki kilifaa wale wengine na hiki sicho ama ndicho, meaning unafahamu each and everything..🐒
hata na hivyo,
kwa Neema na Baraka za Mungu, naona kama umefaulu usahili huo wa written, but ni muhimu kujiandaa vizur kwa oral interviews, but next time make sure umejipanga vizur ili ufanye vizur zaidi.
Mungu akubariki sana 🐒
hata wa kuushusha sasa, usirudie tena hii tabiaMnara unasoma 5g...?
njoo pale kwenye mpapaiTuma location... tuma location,, Tuma location....chapkwaa
itakuwa aibu kubwa sana ukikosaWewe tenaa😂😂 kwani nimesem hakuna jipyaaa...?
"Nje ya taaluma" right...!?
itakuwa aibu kubwa sana ukikosa
ahaahhahaSawa tutajua
Kumbe una diploma?.Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒