Symbioni, Agreco sasa hivi watatuletea majenereta yao yali makubwa kama kontena kwaajir ya kutu uzia umeme unit Kwa shilingi 800Wamechelewa. Magu alishatupa siri zote za migao ya umeme. Nilisema hii nchi atakayekuja kuongoza baada ya Magu atapata shida sana. Walikosea sana kumpa mtu nchi ambaye sio mwanasiasa.
Basi siku zote nilikuwa najua wewe ni kijana mdogo.... yaani tineja aliyetoka kubaleheTufanye utafiti wa namna ya kupata umeme wa ndumba.
Tukiwa primary 1970s yule mwanamazingaombwe muhindi alikuwa anatengeneza umeme kiuchawi!
Hahahaaaa....... Tukiwa wadogo hapo Ufipa palikuwa na msufi bwashee!Basi siku zote nilikuwa najua wewe ni kijana mdogo.... yaani tineja aliyetoka kubalehe
Kumbe mtu mzima kabisa.... Sijui tatizo litakuwa wapi maana nilijua tatizo lako nj umri kumbe sio...
Ohh mabwawa maji yamepungua
Sasa inabidi tutumie mitambo tuzalishe umeme😂
Soon utasikia hiyoo
Ova
Hana weledi na uzoefu. Kwa kupendelewa kaanzia kazi ikulu baada ya chuo. Alipewa kishikaji kazi enzi za jk. Tangu hapo anajiona presidential material na huku uwezo hana.
Kalikuta na analikuza, jizi mashuhuriHuyu ni Waziri wa 3 tatizo liko pale pale, hata kama ni dhaifu lakini January amelikuta.
Kwamba scheduled maintanance haikufanyika ila mitambo haikuharibika na ilifanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu😂 ila kwa sasa inafanyiwa maintanance hali ya kuwa haijaharibika?Sasa mjomba Magu si alibana mianya yote ya wapigaji...
Lakini sasa msikilize bwana January anakwambia miaka mitano mitambo ilikuwa haizimwi kupisha kufanyiwa matengezo ya lazima (uongo mweupe kabisa...)
Itabd ile mitambo iwashwe kuwauzia T umemeMkuu hisia zako zinakaribia ukweli usiopingika…
Hapo mpira ndio umepigwa uwanjani kiaina...soon board itakuja na mkeka uliosheheni makombora ya kufa mtu…na ninavyojua bunge letu mambo yatapitishwa bila kupingwa…Yaani ni maumivu mwanzo mwisho…
Soon tutawasha mitambo ya pale UBKwamba scheduled maintanance haikufanyika ila mitambo haikuharibika na ilifanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu😂 ila kwa sasa inafanyiwa maintanance hali ya kuwa haijaharibika?
Hahahah hii awamu hii itakuwa na vioja vya aina yake.
Ndio kinachotafutwa hicho ili watu waanze kugawana 10%Soon tutawasha mitambo ya pale UB
😂😂
OVA
Ahh sasa tutaishijeNdio kinachotafutwa hicho ili watu waanze kugawana 10%
Mnunue majenereta tuAhh sasa tutaishije
Ova
Na hiyo ya kupiga tu akiisikia mteule anajisemea na huo ndio uteuzi safi kwa ajili ya PwaniHakuna wizara iliyoongozwa na January ikafanikiwa, huyu dogo anachojua ni kutengeneza michongo ya kupiga tu.
Tabora,,,kimsingi nchi hii haijawahi kuwa na utulivu wa umeme labda kipindi sijazaliwa mimi,,,Vinginevyo watu mna ajenda zenu kusema umeme ulikuwa haukatika awamu ya 5Hawezi kukujibu huyo Utopolo.
Haya tumekusoma mkuu!Tabora,,,kimsingi nchi hii haijawahi kuwa na utulivu wa umeme labda kipindi sijazaliwa mimi,,,Vinginevyo watu mna ajenda zenu kusema umeme ulikuwa haukatika awamu ya 5