Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

TANESCO inapaswa ifumuliwe yote, inaonekana baadhi ya watumishi wa Tanesco wanaihujumu Serikali, hivyo waziri na watendaji wake watupie jicho kila kona ya Tanesco
Serikali na mkono wake mrefu ndio ukatwe na Tanesco!!! Wakuifumua ndio huyo anasema suluhu sio fukuza fukuza, nawakumbisha tena this is Africa.
 
Mawazo ya zitto yangefanyiwa kazi yangesaidia japo hayana maana na faida kwa sasa
 
Mawazo ya zitto yangefanyiwa kazi yangesaidia japo hayana maana na faida kwa sasa
Zito anawapenda sana Kikwete na Makamba.

Yuko tayari kutetea kila aina ya ujinga na kujitoa fahamu..

Kwa nini wasikubali tu kwamba wameshindwa kuvaa viatu vya Magufuli?
Mbona Samia amekubali hadharani na hamna aliyemshangaa
 
TANESCO inapaswa ifumuliwe yote, inaonekana baadhi ya watumishi wa Tanesco wanaihujumu Serikali, hivyo waziri na watendaji wake watupie jicho kila kona ya Tanesco
No no no, tatizo Makamba aliingia na mbwembwe, yaani Kalemani hakuwa mzuri kwa mahusiano na TANESCO ila aliweza kufanikisha mambo mengi, pila Dkt Magufuli alikuwa mtu pekee akisema hataki uzembe kila mtu anaelewa ila kwa sasa mdebwedo debwedo
 
Sukuma gang mtapata tabu sana, na hakuna tena ruhusa ya mtu kama Jiwe kuingia Ikulu wala kuwa hata waziri, taifa kama taifa limepata funzo na natamani sukuma gang waliobak hata kwenye uwaziri watolewe wote.
 
Huyu ni Waziri wa 3 tatizo liko pale pale, hata kama ni dhaifu lakini January amelikuta.
Utabaki mjinga mpk lini?,mpk na samia atakufa bira kuerevuka,kipindi cha kalemani ulikuwa hujazaliwa?,waulize wazazi wako watakwambia umeme ulikuwa haukatiki kbs,
 
Back
Top Bottom