baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Makaa ya mawe huku kwenye uhaini wemejifichiaHii kauli ndio imemuweka lisu mahabusu mpaka Leo
Makaa ya mawe huku kwenye uhaini wemejifichiaHii kauli ndio imemuweka lisu mahabusu mpaka Leo
Mwenzio anasubiri uteleze kidogo akubamize hapo hapo.na ndicho kilichomtokea lisu.Makaa ya mawe huku kwenye uhaini wemejifichia
Upinzani upi sasa wakati ccm wenyewe wanaweza kuamua ushinde au usishindeTarime nayoifahamu mimi, kama watalazimisha Esther kuwa mbunge wakati wananchi hawamtaki CCM itakula kwao. Watachagua upinzani labda awe mgombea peke yake...