Kimeumana CCM wangua vilio wakimtaka kembaki polisi watia timu katibu CCM afunguka ( Constructive Manslaughter)

Kimeumana CCM wangua vilio wakimtaka kembaki polisi watia timu katibu CCM afunguka ( Constructive Manslaughter)

Tarime nayoifahamu mimi, kama watalazimisha Esther kuwa mbunge wakati wananchi hawamtaki CCM itakula kwao. Watachagua upinzani labda awe mgombea peke yake...
 
Kuna fursa kubwa ya kufanya mageuzi kwa njia ya maandamano mwaka huu kwa kuzuia uchaguzi
 
Tarime nayoifahamu mimi, kama watalazimisha Esther kuwa mbunge wakati wananchi hawamtaki CCM itakula kwao. Watachagua upinzani labda awe mgombea peke yake...
Labda nyaya zikatike.
 
Chadema ni kikaango cha kukaangia wanasiasa ndio maana wengi waliotoka chadema ccm imewateua. Kina Kishoa, Bulaya, kule Tunduma n.k.
Ni Msigwa tu ndio ameonekana mzigo wa misumari, hana jipya zaidi ya mums kumsema Mbowe vibaya.
Hawa kina Matiko wamekaangwa na kukaangika kwenye kikaango kikaangizi yaani chadema.
Hata mzee mzima halima angetia nia jimbo lolote ccm wangemchukua.
 
Back
Top Bottom