baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Aug 24, 2025 #21 mjingamimi said: Hii kauli ndio imemuweka lisu mahabusu mpaka Leo Click to expand... Makaa ya mawe huku kwenye uhaini wemejifichia
mjingamimi said: Hii kauli ndio imemuweka lisu mahabusu mpaka Leo Click to expand... Makaa ya mawe huku kwenye uhaini wemejifichia
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,054 Reaction score 58,689 Aug 24, 2025 #22 boaz mwalwayo said: Makaa ya mawe huku kwenye uhaini wemejifichia Click to expand... Mwenzio anasubiri uteleze kidogo akubamize hapo hapo.na ndicho kilichomtokea lisu. Angesema tu sisi hatushiriki uchaguzi mpaka yafanyike marekebisho. Sasa hayo mambo ya kukinukisha shida hyo
boaz mwalwayo said: Makaa ya mawe huku kwenye uhaini wemejifichia Click to expand... Mwenzio anasubiri uteleze kidogo akubamize hapo hapo.na ndicho kilichomtokea lisu. Angesema tu sisi hatushiriki uchaguzi mpaka yafanyike marekebisho. Sasa hayo mambo ya kukinukisha shida hyo
Melancholic JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 3,648 Reaction score 6,693 Aug 24, 2025 #23 Jokia said: Tarime nayoifahamu mimi, kama watalazimisha Esther kuwa mbunge wakati wananchi hawamtaki CCM itakula kwao. Watachagua upinzani labda awe mgombea peke yake... Click to expand... Upinzani upi sasa wakati ccm wenyewe wanaweza kuamua ushinde au usishinde
Jokia said: Tarime nayoifahamu mimi, kama watalazimisha Esther kuwa mbunge wakati wananchi hawamtaki CCM itakula kwao. Watachagua upinzani labda awe mgombea peke yake... Click to expand... Upinzani upi sasa wakati ccm wenyewe wanaweza kuamua ushinde au usishinde