The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Iko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani.
Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye hiyo status kaujumuisha na wimbo wa siendiiii nasemaa sieendiiii, katuma na yakutolea, lakini siendi.
Nikimpigia simu anasema nakuja nakuja muda mwingine mzito kupokea simu tofauti na awali. Sasa akili ni mali walisema wahenga, tayari nimerudisha muamala wangu swafi hapa najichekea tuu ha ha ha ha ha fedha yangu imepona swaaaaaafiiiiii