Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Itakuwa umepigwa ila unajifariji tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wangu wote hao 😃😃😃Aisee wapo sema wamezeeka hatari😄😂
Mkuu ww hutumi?Like serious ulituma nauli?
Mkuu, with all due respect, sijamdharau ila ni kama ushauri, why uendekeze starehe na unajujua bado hauko njema financially? Dunia haina huruma boss
😂😂Ila umaskini mbaya sana kuna bidada nilimnunulia bia 10 nikaona haeleweki ... Nikazichukua 8 zilizobaki nikabadilisha na takeaway nikaenda kumpa mke wangu.
HahahaIko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani.
Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye hiyo status kaujumuisha na wimbo wa siendiiii nasemaa sieendiiii, katuma na yakutolea, lakini siendi.
Nikimpigia simu anasema nakuja nakuja muda mwingine mzito kupokea simu tofauti na awali. Sasa akili ni mali walisema wahenga, tayari nimerudisha muamala wangu swafi hapa najichekea tuu ha ha ha ha ha fedha yangu imepona swaaaaaafiiiiii
Madogo mnazingua sanaIko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani.
Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye hiyo status kaujumuisha na wimbo wa siendiiii nasemaa sieendiiii, katuma na yakutolea, lakini siendi.
Nikimpigia simu anasema nakuja nakuja muda mwingine mzito kupokea simu tofauti na awali. Sasa akili ni mali walisema wahenga, tayari nimerudisha muamala wangu swafi hapa najichekea tuu ha ha ha ha ha fedha yangu imepona swaaaaaafiiiiii
Wewe unamiaka mingapiMadogo mnazingua sana
Nisamehe afandeWewe unamiaka mingapi
Ccm ni wapumbacu sanaIko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani.
Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye hiyo status kaujumuisha na wimbo wa siendiiii nasemaa sieendiiii, katuma na yakutolea, lakini siendi.
Nikimpigia simu anasema nakuja nakuja muda mwingine mzito kupokea simu tofauti na awali. Sasa akili ni mali walisema wahenga, tayari nimerudisha muamala wangu swafi hapa najichekea tuu ha ha ha ha ha fedha yangu imepona swaaaaaafiiiiii
😂😂😂Unajibana usile ili ununue umeme uweke simu chaji, ili kuja kusoma ungese