Kimeumana, nimemuweza huyu binti

Kimeumana, nimemuweza huyu binti

Ila umaskini mbaya sana kuna bidada nilimnunulia bia 10 nikaona haeleweki ... Nikazichukua 8 zilizobaki nikabadilisha na takeaway nikaenda kumpa mke wangu.

Ndio ukome

Mke angejua umezileta kwa sababu gani, angevunja chupa zote hizooo.

Ipo siku mdomo utakuponzana ataambiwa

Jionee aibu
 
Ee ndiwoo,. Weee usiniambie unawajua watu wa kule😄😂😂,. Nawafahamu woteee japo sikusoma mda mrefu nlihama

Walimu unawajua nani na nani?
🤣🤣🤣
Primary nimemaliza 2001 wewe

Ila nimehisi tu umesoma Matogoro si unajua sie watu wa ku-teleport hatushindwi kitu
 
🤣🤣🤣
Primary nimemaliza 2001 wewe

Ila nimehisi tu umesoma Matogoro si unajua sie watu wa ku-teleport hatushindwi kitu
Haaaa mie nikajua secondary😄😄,. Shule ya msingiii Maanake hapo si utakuwa ulisoma na akina Uncle labda😂😃,.

Em ngoja kwanza naskiaga majina kama Mwanjisi, mhule, mwanaapa,. Rwekiti , Mkamba vipi na wewe walikufundisha?,😄

Kama unawajua hao baaasi 🤭
 
Mimi Sec nimesoma Box 2 headmaster alikuwa anaitwa Kusilawe
 
Back
Top Bottom