Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Panaitwaga box twoOoh kumbe umesoma SOBO,. Ili kuwa mwaka gani mkuu umemaliza
Anaitwa mzee nani hapa bombambili usikute ndo ninayepishana nae saizi😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panaitwaga box twoOoh kumbe umesoma SOBO,. Ili kuwa mwaka gani mkuu umemaliza
Anaitwa mzee nani hapa bombambili usikute ndo ninayepishana nae saizi😄
Dah,. Mwenyeji kabisa wewe😂Panaitwaga box two
Mi wakunyumbaDah,. Mwenyeji kabisa wewe😂
Sawa sawa sawa,.Mi wakunyumba
Dada To yeye, sasa hapa unayemuonea huruma ni nani katika hao?Ooh,jamani🤦
🤣🤣🤣NDio ndio,. Sema we ngoja nikuulize kitu kama kweli wa huku utakua unamjua mzee bado kufa
Kwahiyo, vya kwenye mlenda vimewekwa juisini?Nimecheka!!
Mbona kama sio chai hii
Ni juice iliyowekwa majivu
Aibu sanaIko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani.
Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye hiyo status kaujumuisha na wimbo wa siendiiii nasemaa sieendiiii, katuma na yakutolea, lakini siendi.
Nikimpigia simu anasema nakuja nakuja muda mwingine mzito kupokea simu tofauti na awali. Sasa akili ni mali walisema wahenga, tayari nimerudisha muamala wangu swafi hapa najichekea tuu ha ha ha ha ha fedha yangu imepona swaaaaaafiiiiii
WEe,. Usiniambie we ni mtoto wa mzee Ndunguru maana mbele ya bado kufa ni nyumba ya huyo mzee😄🤣🤣🤣
Yule Mhaya alikuwa anaishi nyuma yetu
Na jamaa kubaki na hamu zake hujakuona?Mhamala umerudishwa😔🤦
Haaah!! Wewe na nani tena?Wengine tulishatuma nauli akala, tukatuma tena, akaja.
Akalala usiku mmoja, kesho yake tukamtimua.
Hili limeniumiza sana🎵🎵🎶🎶🎶Na jamaa kubaki na hamu zake hujakuona?
Nduguru alishakufa sio Mzee wangu yule 😆😆😆WEe,. Usiniambie we ni mtoto wa mzee Ndunguru maana mbele ya bado kufa ni nyumba ya huyo mzee😄
Sio umasikini bali maamuzi yenye effectIla umaskini mbaya sana kuna bidada nilimnunulia bia 10 nikaona haeleweki ... Nikazichukua 8 zilizobaki nikabadilisha na takeaway nikaenda kumpa mke wangu.
Hizo siyo dalili, huo ni umasikini wenyewe..!!
Sio umasikini bali maamuzi yenye busaraIla umaskini mbaya sana kuna bidada nilimnunulia bia 10 nikaona haeleweki ... Nikazichukua 8 zilizobaki nikabadilisha na takeaway nikaenda kumpa mke wangu.
Wee mwenyeji kabisa😄,. Sanga yupi? Yule anaendesha kigari flani hivi kidunchuu au yupi😃Nduguru alishakufa sio Mzee wangu yule 😆😆😆
Kota ya mwisho kabisa ya Ndunguru ni ya kwanza.
Mpaka hapo code zimefunguka inatosha. Vipi mzee Sanga bado yupo?