Kimeumana, nimemuweza huyu binti

Kimeumana, nimemuweza huyu binti

Iko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani.

Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye hiyo status kaujumuisha na wimbo wa siendiiii nasemaa sieendiiii, katuma na yakutolea, lakini siendi.

Nikimpigia simu anasema nakuja nakuja muda mwingine mzito kupokea simu tofauti na awali. Sasa akili ni mali walisema wahenga, tayari nimerudisha muamala wangu swafi hapa najichekea tuu ha ha ha ha ha fedha yangu imepona swaaaaaafiiiiii
Ungeingizwa cha kike.
 
Tanzania 🇹🇿 ya asali na maziwa

On a serious note, mkuu bado hujajipata vyema, kanauli tu umeona status tayari ukanseli muamala ? Why usijiweke vzr kiuchumi kwanza ndio udili na hawa viumbe ? Starehe gharama
Akisubiri hadi uchumi ukae sawa atawalamba lini?
 
Sasa kanunue kachupa kako kadogo ka mafuta ya mnara, uchukue sheria mkononi mpaka mashine itoke sugu.

Uzuri wa sheria mkononi unaweza kumkula hata Beyonce kinadharia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tumpongeze lakini kwa kuanzisha thread.
Yaani hii ni gahawa sio chai maana kitaalamu ukiunganisha hayo matukio unagundua ni uongo sana.

Katuma hajatokea
Mara kajipost status na shoga ake wanakunywa wine
Wimbo wa siji wa Zuchu kwenye status
Mwisho ame reverse muamala
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom