Kimeumana, nimemuweza huyu binti

Kimeumana, nimemuweza huyu binti

20250128_175352.jpg
 
Tanzania 🇹🇿 ya asali na maziwa

On a serious note, mkuu bado hujajipata vyema, kanauli tu umeona status tayari ukanseli muamala ? Why usijiweke vzr kiuchumi kwanza ndio udili na hawa viumbe ? Starehe gharama
Chief Bakhresa unayemjua anauza hadi nyanya pamoja na kua na hela,yeye huyu aliyetuma nauli ambayo biladhaka ni zaidi ya buku,unataka aidharau hiyo pesa kweli?
No wonder matajiri wanakusanya na kuthamini hata shilingi 50,ila maskini anadharau buku.Unachoona wewe ni kidogo,kwa mwenzako ni kikubwa,halafu matajiri wengi hawahongi kama maskini.
 
Back
Top Bottom