Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Peppapig

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
967
Reaction score
1,485
Nimeikuta instagram kwenye page ya politikstz

Kwa maelezo yake anadai Resty kajiwish birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto,mapenzi ni bambam alafu akajisahau akakoment kutumia account hiyohiyo akisema asante mume wangu badala ya kutumia account yenye jina lake!Yani in short kajiwish mwenyewe na akajijibu mwenyewe!

Screenshot_20211004-100205_Instagram.jpg
 
Wanaofanya show off mitandaoni mahusiano Yao huwa mabovu na resty hampi pumzi mumewe Ili asinyakuliwe na mijimama ya mjini


Wanaume wamejaa tele barabarani huko kwanini huyo wake ndio awe wa kunyakuliwa na mijimama ya mjini???

Halafu hii tabia ya wanawake kuwapost waume zao kila siku mitandaoni sijui hao wanaume wanalichukuliaje😃😃

Yaani kila saa mara selfie mara sijui nini unamrusha mume, baba wa watoto wako, mwanaume mzima na ndevu zake, president wa nyumba yako mtandaoni..... mimi ningeniambiwa na huko insta nihame👐👐👐


Halafu na mwanaume nae anatuliaaaa apigwe picha kisha apostiwe😆😆

Sijui mimi niko nyuma ya wakati💃💃

Eti Tate Mkuu Asprin Bujibuji mara ya mwisho mmepostiwa lini huko insta😂😂
 
Back
Top Bottom