Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Huyu anayejipost kupitia account ya mumewe na kujijibu hafu Ile kitchen part ya watu yeye na mumewe na mikeki wapi na wapi, hivi hivi na director Joan waligombana baada ya kupost picha za baby shower na ilikuwa Siri. Resty mchapakazi ila kutaka kufuraisha watu mitandaoni Kuna mfanya awe kitu
Hapo na mimi wameniacha Hoi..shughuli ya watu nyie mkafanyiane surprise kweli..too much is harmful
 
Wanaume wamejaa tele barabarani huko kwanini huyo wake ndio awe wa kunyakuliwa na mijimama ya mjini???

Halafu hii tabia ya wanawake kuwapost waume zao kila siku mitandaoni sijui hao wanaume wanalichukuliaje[emoji2][emoji2]

Yaani kila saa mara selfie mara sijui nini unamrusha mume, baba wa watoto wako, mwanaume mzima na ndevu zake, president wa nyumba yako mtandaoni..... mimi ningeniambiwa na huko insta nihame[emoji114][emoji114][emoji114]

Halafu na mwanaume nae anatuliaaaa apigwe picha kisha apostiwe[emoji38][emoji38]

Sijui mimi niko nyuma ya wakati[emoji126][emoji126]

Eti Tate Mkuu Asprin Bujibuji mara ya mwisho mmepostiwa lini huko insta[emoji23][emoji23]
Majimama mengine au wadada hupenda tu huyo mtu vile anapostiwa so anakuwa easy target mkewe si ana mfanyia promo kwa kujifanya mumewe ana care so hizo show off ndio zina attract mijimama ya mjini inayopenda kulea.
Ila from my experience wanaume wengi hawapendi mapicha picha mtandaoni au kujipiga selfie huwa mwiko, Sasa huyo wa resty ndo analelewa atafanyaje sasa
 
Nimeikuta instagram kwenye page ya politikstz

Kwa maelezo yake anadai Resty kajiwish birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto,mapenzi ni bambam alafu akajisahau akakoment kutumia account hiyohiyo akisema asante mume wangu badala ya kutumia account yenye jina lake!Yani in short kajiwish mwenyewe na akajijibu mwenyewe!

View attachment 1962386
Ndio nani huyo huko daslamu?!
 
Mmesahau yule afisa habari wa chadema aliyesifia ndoa yake humu jamii forums kwa ID fake ,akisifia ni ndoa ya kuigwa ,I'd zilipounganishwa kumbe ni yeye anajifanyia promo
Nani huyo?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majimama mengine au wadada hupenda tu huyo mtu vile anapostiwa so anakuwa easy target mkewe si ana mfanyia promo kwa kujifanya mumewe ana care so hizo show off ndio zina attract mijimama ya mjini inayopenda kulea.
Ila from my experience wanaume wengi hawapendi mapicha picha mtandaoni au kujipiga selfie huwa mwiko, Sasa huyo wa resty ndo analelewa atafanyaje sasa

Hawapendi kwasababu wana wanawake wengi inawaharibia
 
Nimeikuta instagram kwenye page ya politikstz

Kwa maelezo yake anadai Resty kajiwish birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto,mapenzi ni bambam alafu akajisahau akakoment kutumia account hiyohiyo akisema asante mume wangu badala ya kutumia account yenye jina lake!Yani in short kajiwish mwenyewe na akajijibu mwenyewe!

View attachment 1962386

Ujinga tu, hayo maneno aliyoyaandika yana Ubaya gani kwa mtu kumwandikia mkewe?
 
Back
Top Bottom