Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Kwa hiyo ukumbi mzima ule hawapati support ya waume zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema maisha ya picha picha yanahitaji moyo sana

Wao ni wa tofauti😅😅😅😅
Missyrose hutaki kujifunza kwao😂😂 wacha mapenzi yapepeee
 
Madhara ya mwanaume kutegemea hela ya mwanamke lazima akupelekeshe na kukufanya mjinga. Tunarudi pale pale wanaume tutafute hela,husitegemee wala kuipigia mahesabu hela ya mwanamke.
Na kweli maana kama mwanaume angekuwa nazo asingekua anamfuata kila mahali utasema hana kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmesahau yule afisa habari wa chadema aliyesifia ndoa yake humu jamii forums kwa ID fake ,akisifia ni ndoa ya kuigwa ,I'd zilipounganishwa kumbe ni yeye anajifanyia promo
Chadema waongo Sana [emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom