Sisili ninampenda Binti Kiziwi, kwa moyo wangu ameuteka Binti Kiziwi, Nateseka saaana juu yake, Binti Kiziwi....[emoji124][emoji3][emoji3][emoji3] kwenye maisha unatakiwa uelewe unaishi kwa ajili ya nani!
Nimeipenda hii😀😀😀 kwenye maisha unatakiwa uelewe unaishi kwa ajili ya nani!
Wanaofanya show off mitandaoni mahusiano Yao huwa mabovu na resty hampi pumzi mumewe Ili asinyakuliwe na mijimama ya mjini
Jana mumewe alivyoenda kumpa surprise ya mabusu pale stejini uliona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaofanya show off mitandaoni mahusiano Yao huwa mabovu na resty hampi pumzi mumewe Ili asinyakuliwe na mijimama ya mjini
Mwanaume kwenda kitchen party gala imekaajeJana mumewe alivyoenda kumpa surprise ya mabusu pale stejini uliona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikuelewa kwa kweli..maana watu wote walishangaaMwanaume kwenda kitchen party gala imekaaje
Huenda alilazimishwaSikuelewa kwa kweli..maana watu wote walishangaa
Mwanaume kwenda kitchen party gala imekaaje
Sikuelewa kwa kweli..maana watu wote walishangaa
Jana mumewe alivyoenda kumpa surprise ya mabusu pale stejini uliona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo ukumbi mzima ule hawapati support ya waume zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi ndio tunashangaa ila wenzenu hapo yao yanaenda na wanapeana support ya hali na mali[emoji28][emoji28][emoji28]