Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Kwa maelezo yako hapa sijaona huo utapeli, acha wivu wacha jamaa apige hela kwa akili zake.

Kama vipi na wewe kaanzishe kwenye zao la Magimbi.
 
Walipohojiwa na mkuu wa mkoa hiyo bei ya milioni moja wameikataa kwamba siyo kweli, wewe ni nani unayetaka uulizwe hapa JF? Dalali? Promoter? au nani?
 
Kwenye TV huwa ni picha zile zile mwaka umekatika shida ni kamera au nini? Swali la pili hizo green house ambazo mche wa vanilla unatambalia kwenye ka-ubao kembambaa ni demo au really? Maswali mengine yanakuja!
Kama unataka kufahamu zaidi na kuona picha nyingi funga safari njoo kwenye eneo lao la kilimo linaitwa VANILLA VILLAGE kata ya YAKOBI wilaya NJOMBE , Kijiji kipo karibia na barabara kuu iendayo SONGEA , huko utakuta watu wapo serious na kilimo shambani mamia ya vijana wamechukuliwa kutoka MBOZI,MBEYA .. pia Wana namba zao za simu za Whatsapp ambazo hutoa updates kupitia status ya nini kile kinafanyika , Wana channel YouTube ambayo hutoa updates...hizo greenhouse ni really sio demo PIA WANA MAGARI MAALUM KWAAJILI YA KUPELEKA WAMILIKI WA MASHAMBA HUKO VANILLA VILLAGE...kwahiyo kama unapenda zaidi kufahamu usisite kufatilia zaidi taarifa ...UKIWEZA WAFATE OFISINI KWAO
 

Kilo moja ya Vanilla pale Hai ni Elfu ishirini na wanakukopa siyo keshi sikieni nyie waungwana
 
Walipohojiwa na mkuu wa mkoa hiyo bei ya milioni moja wameikataa kwamba siyo kweli, wewe ni nani unayetaka uulizwe hapa JF? Dalali? Promoter? au nani?
Mimi sio promoter wala dalali ...nimesema Moja kati ya watu waliobahatika kufika ofisini kwa vanilla international Ltd huku Njombe ni mimi , hivyo nimefanya mahojiano ya moja kwa moja na wahusika au watendaji wa kampuni na kupata uelewa ..HIVYO NILIPENDA KUWASAIDIA WENZANGU AMBAO HAWAJAFANIKIWA KUFIKA OFISINI AU KUPATA DETAILS ZA UHAKIKA NI MSAADA TU ..SINUFAIKI NA CHOCHOTE NI KUSAIDIANA TU ......Kuhusu bei ya vanilla kuwa 1M hiyo nimeipata ofisini sipo tayari kubishana kuhusiana na hilo nina record ya maongezi niliyofanya na watendaji wa ofisi ukitaka ntakupa pia
 
Hata nami namuunga mkono.
 
Hiyo ofisini ni matapeli.. hakuna vanilla ambayo imeota hapo njombe.. wanajenga mabanda tuu utadhani wanafuga kuku.

Vanilla inastawi kwenye ukanda wenye joto 18c kuoanda juu kama bukoba, kil, tanga etc..


Huyo jamaa ni tapeli na amepiga sana pesa za wakubwa.

Imagine anatengeneza green house za vanilla 20x20 sqm kwa mil 18.. sasa kahesabu hayo mabanda ya greenhouse hapo Njombe yapo mangapi na zidisha kwa mil 18


Hivi karibuni alikua anasema ukilima vanilla kwenye sql 400 hapo vanilla village anakupa bojus ya ekari moja ya kitungu swaumu na ekari moja ya parachichi[emoji1787][emoji1787]

Huu ni utapeli ulio changamka[emoji28][emoji28]
 
Hawafai kabisa na watu wanaendelea kuumizwa tu
 
Mimi niliona nisaidie kutoa taarifa ...kuhusu masuala ya utapeli na mengine hayo hayaniusu nakuachia wewe ...uamini usiamini Mimi sio Kaz yangu
 
Wajenge, au wasijenge kwa mtindo wa matangazo ya kilo moja kuuzwa milioni 1, huo ni utapeli na kazi nzima ni utapeli tu. Mwaka 2010, kilo moja ya vanilla mkoa wa Kagera ilikuwa TZS 40,000. Baadaye soko likaporomoka na kilimo kikafa. Mnunuzi mkuu alikuwa Uganda. TZ ilihangaika kujaribu kufuatilia ili tuwe na soko letu ikawa ni shida. sasa ameibuka huyu wa shilingi milioni 1. Huyo ataishia kukimbia na kilo za watu baada ya kuwaumiza wananchi wadhaifu wanaosubili milioni 1.
 
Con-persons in action.
 
Wamewahi siyo badaye wanaanza kulialia

Na kuwaletea usumbufu serikali na makes

Ila kama wana lengo zuri hao vanilla heri ila kama badaye ni maumivu basi

Ova
 
Kilimo cha ukweli kinacholipa maradufu na kwa haraka ni kilimo cha Bangi ila lazima uisome PGO yote uelewe haki zako za msingi unapokuwa chini ya mikono salama ya serikali kabla ya kushika jembe🐒
Ndiyo. Cannabis Sativa inalipa. Vanilla ni utapeli tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji419][emoji375]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…