Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Binafsi nilimpigia huyo jamaa wa Vanila international nikamwambia kuwa nina tani moja ya vanila nimpeleekee .

Akanijibu kuwa kwa sasa hashughulikii na ununuzi na hawajaanza kununua ndiyo nikajua kuwa ni matapeli.
 
Mambo ya Mr. Makuku hayo
Inawezekana huo mradi umekaa kiujanja ujanja.
Ila katika pitapita zangu mitandaoni kuhusu thamani ya zao la vanila ni kubwa, niliona wakulima wa vannila nchini Madagascar wanalalamikia usalama wao pindi wakishavuna, hata kama ana kilo moja au mbili hua wanafatwa usiku na majambazi yenye silaha za moto na kuwanyang'anya.
 
Eti kilo milion moja yaani imekuwa dhahabu au tanzanite

Wabongo wanatapeliwa kirahisi Sana.
Aisee nami niliingia kwenye huo mtego mpaka nikaenda kuzikusanya tani moja kwenda kwake hana la kusema.
 
Chini ya ccm utapeli unazidi kutamalaki
 
Eti kilo milion moja yaani imekuwa dhahabu au tanzanite

Wabongo wanatapeliwa kirahisi Sana.
Mkuu ni kweli kilo moja 1M lkn shida ipo kwenye kukidhi izo grade za 1M maana Vanilla sio poa kuanzia kwenye pollination inaitaji artificial pia ikipata stress tuu inapelekea flowering abortion pia kwenye swala la kuvuna na utunzaji kwa sio rahisi maana ikipungua tuu grade sio rahisi lkn ukiweka jitiada kila kitu kinawezekana
 
Binafsi nilimpigia huyo jamaa wa Vanila international nikamwambia kuwa nina tani moja ya vanila nimpeleekee .

Akanijibu kuwa kwa sasa hashughulikii na ununuzi na hawajaanza kununua ndiyo nikajua kuwa ni matapeli.
Ha ha ha tapeli huyo
 
Yaani Dealer wa madini hataki kununua madini.
 
Eti kilo milion moja yaani imekuwa dhahabu au tanzanite

Wabongo wanatapeliwa kirahisi Sana.

Mkuu katika soko la mataifa hiyo ndio bei yake ila mpaka ifike huku Ulaya
Mimi binafsi nanunua ya Madagascar Na bei zake ziko juu sana ila kama ukiangalia wanaouza kwenye mitandao ndio bei zake hizo 1m
 
Nilisikia siku moja redioni kuhusu hilo, kwamba eti kumbe pollination yake haitegemei Wadudu au upepo kama mimea mingine...kwamba unatakiwa Mkulima mwenyewe ufanye timing ndio uwezeshe pollination.

Nilibaki njia panda ila nikajiuliza ndio Mungu alivyokusudia au kuna mahali tu sisi Binaadamu tunakosea ndio maana inalazimu kufanya hivyo?.

Any way vyovyote iwavyo ni zao linalohitaji umakini mkubwa mpaka kuvuna....na isingikuwa uhitaji wake upo juu Watu wangelipotezea tu kwa kweli.
 
Wewe ni mgeni labda vanilla inalipa Ina pesa ndefu hata kabla ya ujio wa hamasa hii.
Uliza kagera.
Madagascar mashamba ya vanilla yanalindwa na bunduki ndo ujue pesa ipo.
Ilikuwa ni jukumu la serikali kuwaunganisha wakulima na masoko.
 
Hii inaweza kuwa ushauri mzuri sana ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…