Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Kumbe sungura nao wana vifaranga kama kuku[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ipo ivi Mkuu kind of flower ya vanilla ni closed kwaiyo nivigumu sana mdudu kuweza kuingia na kufanikiwa kufanya pollination kwaiyo inabidi mkulima mwenyewe afanye maana Kuna vifaa maalumu kama forceps iv ndo vinatumika lkn inabidi viwe clean ili pollen zisiwe contaminated mbaya Zaid pollination inabidi ifanyike kwanzia saa nne adi saa sita mchana baada ya apo huwezi kufanikiwa kufanya icho kitu kwa kweli ilo zao ni changamoto kwa mkulima hasa kwa Tanzania yetu
 
Mr Kuku
DECI
FOREX
VANILLA
....................
Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa
Ukae Chini Halafu Ufanye Downloading Pesa Haa Teh
Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu!!
 
Sijui hizi akili huwa unaziachaga wapi?aisee ushaur MZURI NATUMAI WAWEKEZAJ WATAKUELEWA
 
Masama,Mbweera na Uswaa Mamba Kuna Vanilla na mnunuzi ni Mei Kwa Kilo 20000
 
Tanzania yetu ukisikia zinatangazwa fursa kwa nguvu kubwa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.

Trust me Wabongo mchongo wa kweli wa kupiga pesa hata rafiki yako wa karibu huenda pia asikutonye.
Umeongea ukweli wa Mungu. Wabongo tulivyo na roho mbaya ni vigumu sana kupeana dili za hela. Ukipewa dili la hela kirahisi fikiri mara mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…