Kimkakati, Urusi imeshindwa vita ya Ukraine

Pesa tu haishindi vita. Je kwavifo vya wanajeshi wa ukrain watahimili hiyo miaka mitano ama watapeleka na wanafunzi wa primary vitani? Kwa siku wanakufa zaidi ya 200.
 
Putin hajali maisha ya askari wake, ripoti zaonyesha kila saa 24 Russia hupoteza askari 250, ni jambo baya kwa Putin kama vita itaendelea muda mrefu.,
Vita idumu miaka hata 100 mtapelekewa moto popote mlipo
UKRO NAZI
 
Putin hajali maisha ya askari wake, ripoti zaonyesha kila saa 24 Russia hupoteza askari 250, ni jambo baya kwa Putin kama vita itaendelea muda mrefu.,
Weka hiyo ripoti hapa tujiaminishe
 
Hapa Wingereza si ndo majasusi wa Urusi wamepageuza uwanja wa nyumbani kila mara wako pale kuwaua wasaliti wa nchi waliokimbilia London! Huyu jama hana cha kuongea kuhusu Russia
 
Propaganda kitu mbaya sana, Russia anashikiria zaidi ya asilimia 22% ya ardhi ya ka nchi kanakoitwa ukraine, sasa sijui ameshindwaje apo
 
Ng'ombe
 
"Makombora ya kisasa ya Urusi muda si mrefu yataisha"kumbe kuna wakuu wa majeshi ya nchi za Ulaya ni mazuzu,kama huyu wa UK.
Ngo'mbe,yaani watu wenye intelligence Kama UK unawapinga bila facts,,,
 
Russia [emoji635] hapigani na Ukraine [emoji1255] only bali na mataifa ya ulaya plus USA [emoji631]
Jiulize misaada ya finance and silaha anazopata Ukraine kutoka mataifa ya ulaya na USA ni sawa na asilimia ngapi ya jeshi la marekani
Jicho moja linakazia misaada anayaopata Ukraine, hilo lililosalia litumie kuangazia support anayopata Klemlin, juzi tu kaazima watupa mabomu wa Syria to mention a few
 
Haaaaaa marekani kwa mwaka bajeti ya jeshi lake ni $760b wakati Russia Ni $65b marekani ameipa Ukrein zaidi ya $40b yaani 70% ya bajeti ya Russia kijeshi[emoji3]
Kama ni Kweli basi RUSSIA ni Nyoko sana mwenye bajeti usd 70B anapigika na wa 65B. Hapo hata USA lazima ajiulize. Kumbe vita sio tu vifaa ni akili. Usikute silaha za washirika Russia anazikamata na kuwapigia wao

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…