Kimondo (Astreroid) Au Jiwe Kubwa Hatari Kwa Dunia Yetu

Kimondo (Astreroid) Au Jiwe Kubwa Hatari Kwa Dunia Yetu

India walikufa watu kwa Mionzi ya jua kutokana na kuharibika Kwa Ozone layer,Ila nlijiuza kwann iwe INDIA?.Hii Sayari ina watu wa Ajabu sana,vitu vingi sana ni PROJECTS za watu,Ht kuzama Kwa meli ys titanic ilikua ni Issue ya Popullation control kupunguza ongezeko kubwa lililokuepo At that time
Hii issue ya kimonDo still km kitadondoka usije Shangaa kikashukia hko Mashariki ya Mbali maana kwa Jicho LA tatu Hii ni MASSIVE DESTRUCTION WEAPON na anything can Happen,sometimes ni Njia pia ya kuwafanya watu wawe INSECURED Na MTU akiwa ktk hali hiyo ni rahisi sana kumuongoza KIAKILI ni sawa Na kumwambia mtu kwamba kuna nyoka mkubwa sana ndani mwake ni Dhahiri mtu huyo atakutizamia zaidi ktk MSAADA kwakua atahisi usalama wke upo kwako
anyway all am saying ni kwamba mambo yako tata in some ways kuliko ht taarifa tunazoletewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ligonge tuone sayari ya akina nani ngumu!!
Eeeh ligongane sasa tuone usikute sayari yetu nyanya mbele za sayari za mbele huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeshindikana

nYaNi wA KaLe
 
Tatizo nyie mnamuomba Lucifer mkidhani ndio mungu tangu lini Lucifer akamnusuru binadamu na ubaya???Mungu wa kweli ninayemwabudu mbona huwa ananusuru mambo mengi sana chalii yangu mengine hata bila sisi wenyewe kujua
Imani imefunika uwezo wa kufikiri ndio tabu

nYaNi wA KaLe
 
Tatizo nyie mnamuomba Lucifer mkidhani ndio mungu tangu lini Lucifer akamnusuru binadamu na ubaya???Mungu wa kweli ninayemwabudu mbona huwa ananusuru mambo mengi sana chalii yangu mengine hata bila sisi wenyewe kujua
Siku utakapo lala na njaa usiku ukianza kuhesabu bati emu muombe uyo mungu wako Akuletee saani ya Ugali kama Atakuletea. Utahesabu bati Paka ukome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Imani imefunika uwezo wa kufikiri ndio tabu

nYaNi wA KaLe
Mkuu usifosi tufanane kimawazo na kimtizamo.. Amini unachoamini na mm niache niamini ninachokiamini after all hakuna ambaye anaweza kukibadilisha kile ninachoamini
 
Wapi nimesema tunamuomba ibilisi? Kwanza maelezo yangu nimeyatoa kwa upande wangu binafsi!
Lakini kwa jinsi ulivyo na ufinyu wa fikira tayari umesema kwamba "tunamuomba lucifer".

Wapi nimesema tunamuomba lucifer? Na tunamuomba lucifer mimi na nani?
Nonsense, pointless
 
View attachment 374391

NASA inatuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya dunia mwaka 2135. Jiwe hilo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu wa viwanja vitano vya mpira, endapo litaigonga dunia mlipuko wake ni sawa na tani bilioni tatu za milipuko au sawa na mabomu 200 ya hiroshima.

Unaambiwa hadi sasa Kimondo hicho kimesogea km 160 tangu 1999. Ingawa wengi wetu wa kizazi hiki hatutakuwepo karne hiyo lakini madhara yatakayowakuta vizazi hivyo ni hatari hii ni kwa mujibu wa news duniani.
=============================

The ‘Bennu’ asteroid is bigger than the Empire State building. It is half a kilometre in diameter at its widest point and travels at speeds of 63,000 miles per hour.

The giant asteroid has been a concern to scientists since being discovered in 1999, due to the potential threat it poses to Earth.

It crosses the Earth’s orbit every six years. But Bennu is getting closer and is due to pass between the Earth and the moon in 2135 - a distance of about 290,000km away.

And the US space agency is taking the threat of an impact so seriously that it is launching a probe to collect rock samples to help find out more about the asteroid and the risk it presents to humanity.

Dante Lauretta, professor of planetary science at Arizona University, and the NASA expert in charge of the mission to Bennu, warned: “That 2135 fly-by is going to tweak Bennu’s orbit, potentially putting it on course for the Earth later that century.”

He added: “We estimate the chance of impact at about one in 2,700 between 2175 and 2196.”

The force of Bennu striking the Earth would be the equivalent of three billion tonnes of high explosive.

While the chances of the asteroid smashing into Earth are small, they remain significant and Professor Lauretta warned: “It may be destined to cause immense suffering and death."

The OSIRIS-REX spacecraft is scheduled to launch next month in a bid to map the asteroid and bring back rock samples.

It will arrive at Bennu in 2018 and will spend a year studying the asteroid, looking at its chemical composition, mineralogy and geology.

The probe will also take measurements of a force that can alter the orbit of asteroids and potentially put them on a collision course with the Earth.

Professor Lauretta explained: "The Yarkovsky effect is the force that acts on an asteroid when it absorbs sunlight and then radiates it back into space as heat. It acts like a small thruster, constantly changing its course.”

He added: "Bennu's position has shifted 160km since 1999."


Source: express.co.uk

Hili kama wameweza kuliona, basi hata kuliondoa wataliondoa. Wazungu are very smart.
 
Kimondo cha hatari zaidi kipo kimepaki sasa hivi North Korea kwa Kim Jong Un.
 
Back
Top Bottom