Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
duh mkuu ,yawezekana umaimnai inayokusukuma kusema hayo yote,lakini landa tuanzie hapa unadhani chimbuko hasa la mwanadamu ni nini kama si Mungu mwenyewe? na kumbuka sie washwahili tunamsemo unaosema heri uamini kwamba yupo ili ukikutana naye iwe sawa,kuliko kuhamini hayupo then siku ya siku unakutana naye sijui utasema nini?
Heri yako umejisemea ukweli tu, UOGA! Imani ni kuamini bila ushahidi wala kuhoji. Mimi si muoga, siku nikikutana naye kama kweli yupo yeye ndiye atakuwa na shughuli ya kujibu maswali yangu. Meanwhile, silazi ubongo wangu kwenye mambo ya kijima.