Ndio tena100%.
Tazama ulimwengu ulivyo, tazama asili ya ulimwengu huu,
Ulimwengu huu ulivyo-umbika.
Bahari isiokauka. Angalia anga, angalia uzuri Wa asili ya ulimwengu. Hivi havikutokea kwa bahati mbaya
Yupo alievifanya
Uwezo Wa Mungu, akili za Mungu zapita fahamu zote.
Sikiliza, Mungu ndie chanzo cha cha vyote unavyoviona.
Lakini kumbuka kabisa [Mungu] ni MTAKATIFU.
Hakai pamoja na wenye dhambi.
Hakuna alie mwona Mungu kwa Macho Hata Adam na Hawa hawakuwai kumuona Mungu!
Bali Mungu alisema Nao walikua wanasikia sauti tu.
Mungu ni roho, nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu ktk Roho na kweli.