Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa, Mungu yupi huyo? Mungu anayeuwa watu kwa njaa kule Usomali? Ameshindwa kuzuiya machafuko duniani ataweza kuzuiya kimondo?!!!
Rene Jr. unachotakiwa kujua kuhuu mungu ni kuwa hashindwi na kitu chochote kile,na ndio maana pamoja na wwe kumdhihaki kwa mambo hayo yaliyosababishwa na binadamu wauvu bado amekupa nafasi ya kuendelea kuunufaika na rehema zake ikiwemo uhai,nakusihi tengeua kauli yako dhidi yako dhidi ya MUNGU kwani akiamua kwa sekunde moja tu kuinyamazisha dunia yote hii anaweza,ila uzuri MUNGU wetu aliye hai si wa majaribu na si wa hasira ,na pia MUNGU hapendezwi na vifo vya watu ndio maana amehaidi kuja kutufufua ile siku ikifika na atakitupilia mbali kifo na mautiHahahahaa, Mungu yupi huyo? Mungu anayeuwa watu kwa njaa kule Usomali? Ameshindwa kuzuiya machafuko duniani ataweza kuzuiya kimondo?!!!
Fikiri kabla ya kupost! Machafuko ya uko somalia yanasababishwa na watu ambao hawafati sheria na amri alizoziweka na pia hata kulitukana jina lake na kumtukana mwanae, hawezi kuacha hicho kimondo kwani kitaua hata watumishi wake, pia yeye ndiye aliyekiumba aweza kukizuia, just believe to survive.Hahahahaa, Mungu yupi huyo? Mungu anayeuwa watu kwa njaa kule Usomali? Ameshindwa kuzuiya machafuko duniani ataweza kuzuiya kimondo?!!!
Mkuu Movement ya Objects zote ktk space zinapata energy ya kumove kutoka na Gravity Pulls vitu vinavutana na kupelekea motion, Mfano Tunda linapata wapi energy ya kumove kutoka mtini mpaka chini? Ni Gravity ndo ina play vital rolemada imetupwa kule!
kinachodiskasiwa ni mungu duh! tz ya mwendo kasi
msaada hili swali wakuu.
Hivi kimondo kinapata wapi force ya kuweza kumove..?
Mkuu Mambo ya space yana tija sana sana Leo matokeo ya vitu kama kuangalia Tv station ni inshu za satellite ambapo ni space explorerSio uongo bali haziendani na pesa wanazospend. Value for money. Pesa nyingi inatumika kugundua mambo yasiyo ya msingi sana au yasiyo na tija sana.
Mkuu nimegundua tumebadili mjadala wa mada husika hivyo basi nisubiri nikianzisha Uzi wangu unaohusiana na uwepo wa mungu nitajipanua zaidiDada acha uchoyo,unaposema huwezi kubishania ni kama unatunyima sisi "madini" uliyonayo juu ya jinsi wewe unayomjua Mungu, na hapa sidhani kama mnabishana ila mi naona ni kama mnatuelimisha na sisi ambao tunafuatilia mjadala wenu. Kama anastahili kuitwa Mungu kwanini ukose hoja za kujibu ??
Naelewa sana kuhusu space exploration na faida zake esp on communication, vacuum, etc. Point yangu ni pesa inayotumika haiendani na faida zinazopatikana. ISS pekee imeshatumia more than $100 billion USD hadi Leo ila hakuna any viable discovery iliyogundulika thus far. Hiyo ni ISS tu achana na space exploration zingine ambazo nazo zinaspend billions of dollars.Mkuu Mambo ya space yana tija sana sana Leo matokeo ya vitu kama kuangalia Tv station ni inshu za satellite ambapo ni space explorer
Ww chizi kweli . ha ha ha....Acha ligonge tuone sayari ya akina nani ngumu!!
Eeeh ligongane sasa tuone usikute sayari yetu nyanya mbele za sayari za mbele huko
Kwahiyo wanaokufa ni wakosefu, na nyie mnaosurvive ni watenda mema?Fikiri kabla ya kupost! Machafuko ya uko somalia yanasababishwa na watu ambao hawafati sheria na amri alizoziweka na pia hata kulitukana jina lake na kumtukana mwanae, hawezi kuacha hicho kimondo kwani kitaua hata watumishi wake, pia yeye ndiye aliyekiumba aweza kukizuia, just believe to survive.
Hahahaa, hana huo uwezo, hayupo, ni kivuli tu cha waoga wa fikra kuficha nafsi zao, yaani ni kama mbuni afichavyo kichwa chake chini ya mchanga ilhali kiwiliwili chote kiko nje! Mungu hapendezwi na vifo vya watu, kwanini asivizuie?...kwa sababu hana huo ubavu, ni hewa, hayupo, ni invention ya kijima, wewe unayeabudu mtu unayeamini alipigwa na kuuwawa msalabani eti akuokoe, unaamini kabisa yuko hai wakati huo unaamini alishakufa hauna tofauti na anayeabudu mzimu wa babu yake. Kifupi ni kwamba, unaadu mzimu wa babu wa wenzako huku ukibeza wanaoamini mzimu wa babu yao, akili zenu wote mmeshikiwa na mizimu, ni akili za kijima. Mfano mdogo ni kwamba, kuna dini 4000, wewe unaamini miungu 3999 si ya kweli bali 1, na wenzako wanaamini wa kwao tu ndiyo wa kweli, mimi najua kwamba yote 4000 ni miungu hewa, ni vitu vya kusadikika.Rene Jr. unachotakiwa kujua kuhuu mungu ni kuwa hashindwi na kitu chochote kile,na ndio maana pamoja na wwe kumdhihaki kwa mambo hayo yaliyosababishwa na binadamu wauvu bado amekupa nafasi ya kuendelea kuunufaika na rehema zake ikiwemo uhai,nakusihi tengeua kauli yako dhidi yako dhidi ya MUNGU kwani akiamua kwa sekunde moja tu kuinyamazisha dunia yote hii anaweza,ila uzuri MUNGU wetu aliye hai si wa majaribu na si wa hasira ,na pia MUNGU hapendezwi na vifo vya watu ndio maana amehaidi kuja kutufufua ile siku ikifika na atakitupilia mbali kifo na mauti
NASA- Never A Specific Answer. Habari za NASA sio za kuchukulia seriously wapo kupiga hela tu, hamna discovery ya maana waliyofanya kulinganisha na pesa wanazospend
duh mkuu ,yawezekana umaimnai inayokusukuma kusema hayo yote,lakini landa tuanzie hapa unadhani chimbuko hasa la mwanadamu ni nini kama si Mungu mwenyewe? na kumbuka sie washwahili tunamsemo unaosema heri uamini kwamba yupo ili ukikutana naye iwe sawa,kuliko kuhamini hayupo then siku ya siku unakutana naye sijui utasema nini?Hahahaa, hana huo uwezo, hayupo, ni kivuli tu cha waoga wa fikra kuficha nafsi zao, yaani ni kama mbuni afichavyo kichwa chake chini ya mchanga ilhali kiwiliwili chote kiko nje! Mungu hapendezwi na vifo vya watu, kwanini asivizuie?...kwa sababu hana huo ubavu, ni hewa, hayupo, ni invention ya kijima, wewe unayeabudu mtu unayeamini alipigwa na kuuwawa msalabani eti akuokoe, unaamini kabisa yuko hai wakati huo unaamini alishakufa hauna tofauti na anayeabudu mzimu wa babu yake. Kifupi ni kwamba, unaadu mzimu wa babu wa wenzako huku ukibeza wanaoamini mzimu wa babu yao, akili zenu wote mmeshikiwa na mizimu, ni akili za kijima. Mfano mdogo ni kwamba, kuna dini 4000, wewe unaamini miungu 3999 si ya kweli bali 1, na wenzako wanaamini wa kwao tu ndiyo wa kweli, mimi najua kwamba yote 4000 ni miungu hewa, ni vitu vya kusadikika.
Dada nilikua nimeshatetea point yangu ila sababu u mvivu kusoma nitaandika tena.Hujui sayansi ni bora ukae kimya. Mambo ambayo NASA wamecontribute kwenye scientific commnity ni mengi mno, research zao ndio sababu leo hii upo unatumia JF, LEDs taa hizi ambazo zinatumia umeme mdogo, hadi LED monitors zimetokana na research za NASA, Anti-ici systems zinazokinga watu ndani ya ndege wasigande na baridi, nguo zinazotumiwa na firefighters e.t.c wamecontribute ugunduzi na uboreshaji wa vitu vingi sana vilivyobadilisha maisha yetu.
Binadamu mpunguze kukaa mnasikiliza conspiracy theories kila siku, unadhani nchi kama marekani kutoa pesa nyingi kila mwaka kusponsor NASA wao ni wajinga? Sikulaumu, nalaumu facebook imewaunganisha na watu kama akina kardashian ndio mnawafata sana mnaacha kufollow watu wa maana.
Dada nilikua nimeshatetea point yangu ila sababu u mvivu kusoma nitaandika tena.
Naelewa sana kuhusu space exploration na mchango wake esp on communication, vacuum, etc. Naweza kutaja mambo zaidi ya 20 yaliyochangiwa na hizi tafiti ila Point hapa ni pesa inayotumika haiendani na faida zinazopatikana (value for money). ISS pekee imeshatumia more than $100 billion USD hadi Leo toka 1998 ila hakuna any viable discovery iliyogundulika thus far. Hiyo ni ISS tu achana na space exploration zingine ambazo nazo zinaspend billions of dollars.
Wakati huo huo less than 5% of the ocean is explored sababu marine scientists hawana funds za kutosha na probably wangetumia hata nusu ya hela inayoenda ISS kumap na kugundua mengi kwenye sayari yetu na yenye faida kwetu directly.
Ukiachilia mbali zile experiments zinazohitaji zero-gravitational force au kuwa carried in space tu, discoveries nyingi za NASA zingeweza kufanyika hapa hapa chini for less money. Huhitaji kuwa space ili kudevelop LED au vacuum nk.
Kwa kutambua hilo NASA imeona ni vyema space exploration ziwe privatized na kufanyika for profit, hapo ndipo Elon Musk anaingia na SpaceX. Kama mfuatiliaji utakuwa umeona SpaceX inavyohusika zaidi sasa na ndiyo future of space exploration.
Dada kwa kurudia point hapa ni value for money. Discoveries haziendani na pesa inayotumika.
Some prolific members in this field tayari wameanza kuonyesha dalili za kutoridhishwa. Ingia online jisomee Dada usiwe mvivu kama kawaida ya watanganyika.