Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na wafuasi wenzio wa lucifer..btw hiyo sio mada iliyoletwa hapa usianzishe ligi fungua uzi wako wa kumkosoa Mungu nitakufata hukoWapi nimesema tunamuomba ibilisi? Kwanza maelezo yangu nimeyatoa kwa upande wangu binafsi!
Lakini kwa jinsi ulivyo na ufinyu wa fikira tayari umesema kwamba "tunamuomba lucifer".
Wapi nimesema tunamuomba lucifer? Na tunamuomba lucifer mimi na nani?
Mungu wa Israel , mungu wa Africa au mungu wa Arabs?Mungu atatunusuru
Mkuu hawa jamaa wanaogopa kuja kwa hilo dude eti ndo wanamkumbuka mungu ,siku zote walikuwa wapi?mada imehamia kwa Mungu.
Sina mungu ndugu. Kama haujuwi, it already happened and wiped out a great deal of life on earth. Nadhani mungu wako alikuwa hajazaliwa, maana kwa mujibu wenu umri wa dunia hauzidi miaka elfu10!Yawezekana Mungu wangu mimi sio huyo mungu wako unaemzungumzia.what I know my almighty God hataruhusu hicho kimondo kiiangamize dunia
Hahahaa, acha jazba...fikirisha kichwa. Kuna evidence yoyote ya uwepo wake?Wewe mtoto wa kenge acha kiburi cha uzima, Mungu yupo na anaishi milele.
Naomba nikuulize, je wewe huamini uwepo Wa Mungu?Wapi nimesema tunamuomba ibilisi? Kwanza maelezo yangu nimeyatoa kwa upande wangu binafsi!
Lakini kwa jinsi ulivyo na ufinyu wa fikira tayari umesema kwamba "tunamuomba lucifer".
Wapi nimesema tunamuomba lucifer? Na tunamuomba lucifer mimi na nani?
Acha ligonge tuone sayari ya akina nani ngumu!!
Eeeh ligongane sasa tuone usikute sayari yetu nyanya mbele za sayari za mbele huko
NASA- Never A Specific Answer. Habari za NASA sio za kuchukulia seriously wapo kupiga hela tu, hamna discovery ya maana waliyofanya kulinganisha na pesa wanazospend
Sio uongo bali haziendani na pesa wanazospend. Value for money. Pesa nyingi inatumika kugundua mambo yasiyo ya msingi sana au yasiyo na tija sana.Kwa nini? Kwani kuna uchunguzi waliowahi kuufanya ukawa wa uongo?
Mungu yupi unaemzungumzia? Mungu ninaejua yupo na ambae nilishamwona ni mungu wa wahindu.Naomba nikuulize, je wewe huamini uwepo Wa Mungu?
Nazungumzia Mungu alieziumba mbingu na nchi, alizigawanyisha Bahari na nchi kavu,Mungu yupi unaemzungumzia? Mungu ninaejua yupo na ambae nilishamwona ni mungu wa wahindu.
Miungu mingine yote inayosemwa ipo imebaki kuwa hadithi zisizo na maana
Haya yote waweza kuwa na ushahidi nayo?Nazungumzia Mungu alieziumba mbingu na nchi, alizigawanyisha Bahari na nchi kavu,
aliemwumba mwanadam kwa mfano wake,
Mim namwita "Mungu mwenye nguvu zote"
Mungu asiefananishwa na chochote.
Anaitwa Mungu wa miungu.
Mungu mwenye Khaki.
Mungu alieweka pumzi ya uhai kwako na kwangu.
Anaitwa (Jehovah) ndie ninaemwabudu.
Hao wengine siwajui