Kimueumana: Djuma na Aucho out Yanga

Kimueumana: Djuma na Aucho out Yanga

Jiandae kisaikolojia,si rahisi kihivyo na ukumbuke Yanga ni timu kubwa ina CEO wa kimataifa na matajiri wanaojielewa siyo wale wanaodanga na jushi da mitandaoni.Bingwa wa hamasa Duniani H.Manara anazungumza na wanahabari leo jumatano,saa 6 mchana.Stay tuned
Habari yako

B826B355-D0C5-44ED-A43F-4A00BEB78C26.jpeg
 
Usijali mkuu, The return of champions Jumapili wale Wanigeria wanapigwa nyingi sana

Halafu hiyo ni mind game tu, utashuhudia hiyo j pili hao wachezaji wanakichafua pale kwa mkpa

Jiulize kuhusu Moloko na Bangala, hawa ndo wachezaji wa mwisho kusajiliwa na kwanini ITC zao zimekuja mapema wakati Mayele na Djuma na Aucho waliosajiliwa mwanzo ITC zao ndo zichelewe

Big mind ndo wataelewa hii issue

Kwa hiyo wameamua kuja kuudanganya Umma wa Watanzania kisa ni “mind game”[emoji3][emoji3].Mtani naona uko kwa Denial
 
Teh teh hawa jamaa ni mapimbi tena yaliyotukuka yaani kutwa wanahangaika na Simba iliyokamili kila sekta wakati wao mlango upo wazi na viongozi wa Yanga wameshajua mashabiki wa hii timu ni watu wa upepo wakiletewa Koffi Olomide na wakata viuno wa Kongo kwenye timu watasahau kila kitu sasa angalia wameshapigwa na kitu kizito wafwaaaaaaaaah
Fuatilia thread za humu utaona kolo wenzio ndio wanaongoza kuanzisha thread zinazoihusu Yanga,hapo ndio utajua kolo ndio wako busy na Yanga,yan sasa hivi kolo kanga moko wote aipiti masaa 2 bila kumtaja manara
 
Kama ni hivyo basi hii mbinu ni ya kishamba sana na imepitwa na wakati na hata hao walengwa watakuwa wameshaing'amua, kama hamjawekeza kwenye mbinu za kwenye pitch hizi za nje ya uwanja hazina tija kabisa mngoje kumanuliwa tu.
The return of champions
Mabingwa wa muda wote
 
ITC za djuma na mayele hawa klabu yao ya as vita ilishindwa kuwapa itc yanga mapema

1.hawakumalizana malipo
2.walihofia kutoa itc mapema wakihofu yanga ingewauza tena
Hao wachezaji wamemaliza mikabala yao mwisho wa mwezi wa nane. Wamekuja Yanga bure
Wasingeweza kupata ITC la sivyo Yanga wangetakiwa kulipa fedha ya kuvunja mkataba
 
Kwani Manara akizungumza na wanahabari ndio mtakuwa mmeshinda magoli mangapi?

Huu ushamba wenu unaurudisha mpira wa Tanzania nyuma miaka 30, Simba wanajitahidi kuupeleka mbele kwa vitendo, nyie daima nyuma mbele mwiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwamba wanataka nyuma tu sio? Mbele hapana
 
Jiandae kisaikolojia,si rahisi kihivyo na ukumbuke Yanga ni timu kubwa ina CEO wa kimataifa na matajiri wanaojielewa siyo wale wanaodanga na jushi da mitandaoni.Bingwa wa hamasa Duniani H.Manara anazungumza na wanahabari leo jumatano,saa 6 mchana.Stay tuned
BWEGE kwel. CEO wa kimataifa yupo hapa nchini miaka mingap pasipo UBINGWA
 
Champions wa CAF? Lini mmekuwa mabingwa? maana slogan ni kwa ajili ya mashindano hayo,usiniambie kuwa Champios alimaanisha wa VPL[emoji3][emoji3]
Mabingwa wa muda wote Afrika Mashariki na kati
 
Usijali mkuu, The return of champions Jumapili wale Wanigeria wanapigwa nyingi sana

Halafu hiyo ni mind game tu, utashuhudia hiyo j pili hao wachezaji wanakichafua pale kwa mkpa

Jiulize kuhusu Moloko na Bangala, hawa ndo wachezaji wa mwisho kusajiliwa na kwanini ITC zao zimekuja mapema wakati Mayele na Djuma na Aucho waliosajiliwa mwanzo ITC zao ndo zichelewe

Big mind ndo wataelewa hii issue
Kwahiyo mind game na watanzania siyo?
Au Wanaijeria walikuwa busy kumsikiliza Msukule
 
Back
Top Bottom