Kimueumana: Djuma na Aucho out Yanga

Kimueumana: Djuma na Aucho out Yanga

Usijali mkuu, The return of champions Jumapili wale Wanigeria wanapigwa nyingi sana

Halafu hiyo ni mind game tu, utashuhudia hiyo j pili hao wachezaji wanakichafua pale kwa mkpa

Jiulize kuhusu Moloko na Bangala, hawa ndo wachezaji wa mwisho kusajiliwa na kwanini ITC zao zimekuja mapema wakati Mayele na Djuma na Aucho waliosajiliwa mwanzo ITC zao ndo zichelewe

Big mind ndo wataelewa hii issue
Sasa mind game mnatuletea sisi wakat mnacheza na river utd
 
Kwa nia njema kabisa nadiriki kusema kuwa "NIMEUMIZWA SANA NA WALIYOYAFANYA VIONGOZI WANGU"....

Hivi viongozi wetu wa Yanga wanajua kuwa TUMEIWEKEZA MIOYO YETU klabuni pale?!!!

Hivi wanajua maumivu ya moyo tunayoyapata kwa maamuzi yao ya ajabuajabu?!!!

Ninawashangaa sana....yote hayo ni kuwa KAZI YA USAJILI anapewa mtu mmoja tu....ambaye hwenda majukumu hayo huwa ni mengi ama ana "mipango yake ya kudambua kupitiliza" kupitia SAJILI HIZO......

This is an utter non-sense...haiwezekani KLABU KUBWA kama Yanga ambayo ilianza SAJILI kabla ya Simba kufikia kuwakosa wachezaji hao katika mechi yetu ya KWANZA YA KIMATAIFA.....

Tumetaka kuwasajili hao wachezaji hao kwa ajili ya LIGI YA BARA+ KLABU BINGWA AFRIKA...

Mbona wenzetu Simba wamekamilisha ITC nyuma yetu ?!! Kwa nini isiwe kwa YANGA?!!!

Waache JANJAJANJA.....

Vema akina Kibwana Shomari washinde hiyo mechi ya J/pili In shaa Allah ......

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#1935ForEver
 
Makolo fc
itc cio kitu kikubwa cha kubebwa na winch au kuwa inaweza kuchelewa ndege.
Ni jambo dogo la kubonyeza batani za kompyuta tu.
Kwa hyo msimalze maneno yote.Weken mengne ya akiba
 
Hiyo ni slogan kwa ajili ya mashindano yote msimu huu tutakayoshiriki hakuna kikombe ambacho tutakiacha

Nitakukumbusha kama hakutakuwa na Slogan nyingine mtakapokwenda kwa marudiano Nigeria.Btw nimesoma sehemu mashabiki hawatoruhusiwa kuingia uwanjani,kwa hiyo Slogan haina maana tena maana amsha amsha za mashabiki hazitokuwepo
 
Nitakukumbusha kama hakutakuwa na Slogan nyingine mtakapokwenda kwa marudiano Nigeria.Btw nimesoma sehemu mashabiki hawatoruhusiwa kuingia uwanjani,kwa hiyo Slogan haina maana tena maana amsha amsha za mashabiki hazitokuwepo
Ondoa hofu Mtani, wale wanapigwa nyingi hapa nyumbani and then tunapenda kumaliza shughuli kwao
 
Back
Top Bottom