Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Sio kila kitu lazima utafuniweKwahiyo mind game na watanzania siyo?
Au Wanaijeria walikuwa busy kumsikiliza Msukule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila kitu lazima utafuniweKwahiyo mind game na watanzania siyo?
Au Wanaijeria walikuwa busy kumsikiliza Msukule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapo sema hawa commentHawaji hapa pamekuwa pa moto
Sasa mind game mnatuletea sisi wakat mnacheza na river utdUsijali mkuu, The return of champions Jumapili wale Wanigeria wanapigwa nyingi sana
Halafu hiyo ni mind game tu, utashuhudia hiyo j pili hao wachezaji wanakichafua pale kwa mkpa
Jiulize kuhusu Moloko na Bangala, hawa ndo wachezaji wa mwisho kusajiliwa na kwanini ITC zao zimekuja mapema wakati Mayele na Djuma na Aucho waliosajiliwa mwanzo ITC zao ndo zichelewe
Big mind ndo wataelewa hii issue
Sasa game anacheza rivers United na mhaho mnapata nyie, how comes?Sasa mind game mnatuletea sisi wakat mnacheza na river utd
Mabingwa wa muda wote Afrika Mashariki na kati
Hiyo ni slogan kwa ajili ya mashindano yote msimu huu tutakayoshiriki hakuna kikombe ambacho tutakiachaLakini Slogan ni kwa ajili ya mechi ya CAFCL na siyo CECAFA
Hiyo ni slogan kwa ajili ya mashindano yote msimu huu tutakayoshiriki hakuna kikombe ambacho tutakiacha
Ondoa hofu Mtani, wale wanapigwa nyingi hapa nyumbani and then tunapenda kumaliza shughuli kwaoNitakukumbusha kama hakutakuwa na Slogan nyingine mtakapokwenda kwa marudiano Nigeria.Btw nimesoma sehemu mashabiki hawatoruhusiwa kuingia uwanjani,kwa hiyo Slogan haina maana tena maana amsha amsha za mashabiki hazitokuwepo