Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah sasa kwann usiifufue?!Ilikuwa Toyota camry miaka ileee ya Ben… nikatia ful wese naenda test gari ka iko poa Dar Moro ful speed kushindana na Aboud..Nikikumbuka ule ujinga na tabasamu tu kimya kimya. Iko juu ya mawe kama skrepa nikipita naangalia tu nakumbukia enzi na nshapiga madogo stop kuuza kama chuma chakavu hadi kizazi cha sita....nikiwa kwa Kaisari siku moja moja ntakuwa nachungulia kaa ipo nifurahi tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Mmmmmmhmn hiyo gari bei tu ya kununua huko majuu haishuki mil 9 kodi ni around 8 bado zile charge za bandari kwann ije chini ya 15.UMEPIGWAAA!!! haizidi 15 point something mpka 14 ...kama unabisha nkutumia namba ya agent maarufu town uende ofisini kwao ukapate qoutation ya hyo gari
Ndio bei zake hii inauzwa bei sanaNgoja nkae kimya...mzee kweli hili gari lako la kwanza [emoji23][emoji23] hii ist new model haizidi 15 / 14 .....
siyo mbaya acha ageny apate cha juu ila 19.4 yani naionaa KLUGER kwa mbaaaaaaliii nkiongeza hela ya mboga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo bei zake. Mbona hata mimi nilishacheki mara kadhaa inacheza huko. Unajua bei inayobadilika ni ya kule ila huku ipo standard.Kapigwa vibaya halafu hamna gari hapo bora old model. Mie nilikanunua hako kagari nikakasukuma in two months
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nakumbuka tulikuwa twailinda na wife, geti likiguswa tu naanshwa kuangalia gari. Nikaona ni kazi nikafunga Alarm, ikilia usiku naamshwaa kuiangalia kama ipo.
Nikaona niiweke karibu na dirisha kabisa 2016 hiyo
Ford Mustang yangu ipo baharini itaingia mwazo wa mwezi ujao. Ngoja nione kama yatatokea hayo.
Hata mimi najua hivyo ndio maana nashangaa hawa wanaosema kapigwa. Labda gari ya kununua hapa na iliingia kwa magendo. Ila kama ni gari ya kuagiza na ilipitia hatua zote lazima umenywe hiyo pesa hapo.Inafika huko mkuu wasikupe wenge hawa. Hizo new model unapata 17-19m. Sasa pia kutegemea kama ni mwaka wa mbele inaeza fika hio bei
Me naomba walete uthibitisho sababu hizo gari CIF yake inacheza kwenye dola 3,800 kuendelea. Sasa ukipiga dola 3,800 tu plus kodi na mambo ya bandari mmmmmmhmnAcha ubishi mkuu hizo gari minimum price ni 17m.. sasa wewe na huyo agent labda hizo gari kama anazitoa Singapore huko ambapo wanaokota tu magari afu mnakuja uziwa