Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Dah sasa kwann usiifufue?!
 
UMEPIGWAAA!!! haizidi 15 point something mpka 14 ...kama unabisha nkutumia namba ya agent maarufu town uende ofisini kwao ukapate qoutation ya hyo gari
Mmmmmmhmn hiyo gari bei tu ya kununua huko majuu haishuki mil 9 kodi ni around 8 bado zile charge za bandari kwann ije chini ya 15.
 
Ndio bei zake hii inauzwa bei sana
 
Kapigwa vibaya halafu hamna gari hapo bora old model. Mie nilikanunua hako kagari nikakasukuma in two months
Ndo bei zake. Mbona hata mimi nilishacheki mara kadhaa inacheza huko. Unajua bei inayobadilika ni ya kule ila huku ipo standard.

Naona system ya TRA ipo down leo. Kesho nitaicheki nitapost hapa uone bei ya wastani ya hii gari kwa tz.
 
Kama tayari una flash yenye nyimbo 100 Safi sana, sasa nunua pia na air fresher kalii ya kuweka pale mbele [emoji12][emoji12][emoji12]
Ha ha ha ha na kimdoli cha kuning'iniza kwenye back view mirror.
 
Mi nakumbuka tulikuwa twailinda na wife, geti likiguswa tu naanshwa kuangalia gari. Nikaona ni kazi nikafunga Alarm, ikilia usiku naamshwaa kuiangalia kama ipo.
Nikaona niiweke karibu na dirisha kabisa 2016 hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ford Mustang yangu ipo baharini itaingia mwazo wa mwezi ujao. Ngoja nione kama yatatokea hayo.

The real deal....

Umenifanya nikumbuke ndoto ya kuja kusukuma Chevy Camaro...sisi watu wa mimbio kuna gari unatamani uwe nayo na siku unaendesha barabara iwe wazi kama anapita Mama Samia 😁😁
 
Daaah, kuna vitu ukivipata mtoto wa kiume ukiwa na miaka 20's dunia lazima isimame mazee....
1. Mkataba wa kwanza wa kazi na mshahara wa kwanza,
2. Gari ya kwanza uliyonunua mwenyewe, (Kitu kama Ford Ranger hivi πŸ˜† )
3. Nyumba uliyoijenga kwa jasho lako mwenyewe,

The benefits that come with these vanities, usipokuwa makini vinaweza kukufanya tukupoteze kabisa.......!! 🀣
Ila katika vyoote aliyesema gari ni UCHAWI WA MZUNGU wala hakudangaya.......
 
Inafika huko mkuu wasikupe wenge hawa. Hizo new model unapata 17-19m. Sasa pia kutegemea kama ni mwaka wa mbele inaeza fika hio bei
Hata mimi najua hivyo ndio maana nashangaa hawa wanaosema kapigwa. Labda gari ya kununua hapa na iliingia kwa magendo. Ila kama ni gari ya kuagiza na ilipitia hatua zote lazima umenywe hiyo pesa hapo.
 
Kitambo wazee walikuwa wakinunua ndinga, inapigwa vitambaa kwenye dashboard utafikiri coffee table...😁😁
 
[emoji28]unaota wewe. Labda umvue mtu hapa bongo. Maana IST zenyewe model ya zamani zinafika hadi 14m sahv
True hizo IST za 2008 toka zimeanza kuingia zinauzwa bei balaa.
 
Acha ubishi mkuu hizo gari minimum price ni 17m.. sasa wewe na huyo agent labda hizo gari kama anazitoa Singapore huko ambapo wanaokota tu magari afu mnakuja uziwa
Me naomba walete uthibitisho sababu hizo gari CIF yake inacheza kwenye dola 3,800 kuendelea. Sasa ukipiga dola 3,800 tu plus kodi na mambo ya bandari mmmmmmhmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…