Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Huu uzi umenipa kimuhemuhe cha kuagza chombooo kipyaasaaa from japanis
 
Hebu nitolee mgazeti wako kama wa mange!

Mwanaume mzima unaniandikia ligazeti kuubwa kisa nimesema sipendi visaloon cars [emoji849]

We unanishauri kama nani? Blah blah tako la nyokoz sijui kitu gani nimekuuliza hayo yote?

Pita hivi[emoji117]
Internet Slay queens and looser.

Ujuaji mwingi uelevu nyuma
 
Umeongea vizuri sana na pia kuna vitu vingi huko sawa na mimi. Nilipokuwa mdogo nilikuwa najua furaha ya maisha yangu italetwa na material things so nilijitahidi kukusanya vitu vingi kama nyumba na magari. Baada ya muda nimekuja kugundua vitu vyote hivyo wala havijabadili maisha yangu.

Kitu nachokipenda kwa sasa ni heshima na ushauri ninaoombwa na watu. Imefikia kipindi watu wanakuja mpaka usiku kuja kuomba ushauri wa mawazo kuhusu jambo fulani. Kwa mimi inanipa faraja sana na furaha.

Huwezi amini siku hizi hata kuendesha gari sipendi natamani niwe napanda mabasi nikikaa kwenye kiti nijipumzikie na kusoma say kitabu au niingie JF na mitandao mingine sio kukomaa road asubuhi one hour jioni tena one hour inaniboa sana
 
We madingi zetu kwenye magari yao unawajua unawasikia.
Yes upo sahihi mwenyewe pikipiki ya nyumbani sikuwahi fundishwa na baba na hata mtu mwingine aliponifundusha ilileta ugomvi wa baba na mama ila neema iliponitembelea ya kumiliki kachuma nilifanya baadhi ya vitu ulivyo ainisha ila vingine vimezidi
 
Suzuki wameamua bhna
Hapa gari yangu bora kabisa ni Suzuki Jimny - Manual Transmission. Specifically hiki kipya 4th generation (2018 - current), sidhani kama nitakuja kugusa gari nyingine nje ya hii maisha yangu yote.
 
Hapa gari yangu bora kabisa ni Suzuki Jimny - Manual Transmission. Specifically hiki kipya 4th generation (2018 - current), sidhani kama nitakuja kugusa gari nyingine nje ya hii maisha yangu yote.
Bonge la gari hili asee. Na bei yake imesimama kinoma. Price inafika hadi 80m yani huwezi amini. Mostly yani ni zinatumiwa na serikali tu asee
 
Bonge la gari hili asee. Na bei yake imesimama kinoma. Price inafika hadi 80m yani huwezi amini. Mostly yani ni zinatumiwa na serikali tu asee
Ila kwa sasa hivi bei imeshuka kidogo haka ka 2020 miezi mitatu iliyopita nilikuwa pale CFAO Motors - Suzuki Tanzania unaipata kwa milioni 62 tu kwa manual transmission ila auto ni karibu 69M kasoro bima tu.
 
Mmmmmmhmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…