Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

genius_

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
474
Reaction score
1,237
Wakuu habari,

Nimekaa nikawaza humu JF wengi tunatumia majina na profile pic zisizo halisi. Lakini nikawaza pia tunaweza kufanana na watu fulani mashuhuri kama wanasiasa, wana michezo, wanamuziki n.k

Ebu tuambie na wEwE unafanana na mtu gani mashuhuri hapa duniani, binafsi mm nafanana sana na mwanamuziki Mmarekani anajulikana kwa jina la Clifford Joseph Harris maarufu kama TI.

Kama unamjua pia member mwenzako anafanana na mtu gan mashuhuri ebu tuambie huenda tunaweza kufahamiana kwa kufananishana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…