Kimya Cha Rais Samia kuhusu kifo cha kiongozi wa CHADEMA, Ally Kibao, kinaanza kutia wasiwasi mkubwa

Hakika! CHADEMA wanaropoka sana mikakati yao!
 
Ulitaka samia afanye nini wakati mchongo mzima anaujua A to Z na ametoa Go ahead ya kuendelea kuteka watu na kuua sisimizi.
 
Ulizeni familia ya JPM! wamekaa kimya wanajua Delila alichowafanyia.
 
Mzee kibao aliuawa na government operatives,hii serikali haiwezi kujichunguza yenyewe hata kidogo. Utekaji na mauaji ni mkakati wa kuleta hofu kwa raia wasishiriki shughuli za kisiasa upande wa upinzani .
 
Wow, tumefika huko! Hata shetani anakuonea wivu ulivyo muovu kumzidi.

Really? Yaani wewe huumii hata kidogo Mtanzania mwenzako kutekwa, kuteswa na kuuwawa!

Sure? Just remember you reap what you sow. Ukipanda dengu utavuna dengu.
Yaani katika nchi yoyote inayoendeshwa katika misingi ya sheria, uhai wa raia yeyote ni muhimu sana na lazima Serikali ichukue hatua mara moja

Tujikumbushe kidogo katika miaka Ile ya 70, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani, Alhaji Hassan Mwinyi alijiuzulu kutokana na mauaji yaliyotokea huko Shinyanga.

Ni kwanini nyakati hizi, Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na IGP, Camilius Wambura hawataki kujiuzulu kutokana na kifo Cha Ali Kibao na kutekwa Kwa viongozi wa CHADEMA akina Soka na wenzake??
 
Uchunguzi wa kifo cha JPM! Mbona walipiga kimya,sembuse Ally Kibao
 
Mzee P. Wenye akili wanatotautisha maneno na vitendo. Jeshi letu halipaswi kutetemeshwa na maneno. Sema waliteki advantage kama walivyozuia na kupiga vijana kule mbeya basi!!!
 
Mama yupo kazini na kama unakumbuka ameagiza uchunguzi, sasa mnataka kila hatua ya uchunguzi atoe taarifa?
Tuache vyombo vyenye mamlaka vichunguze!
 
Mama yupo kazini na kama unakumbuka ameagiza uchunguzi, sasa mnataka kila hatua ya uchunguzi atoe taarifa?
Tuache vyombo vyenye mamlaka vichunguze!
Kifo Cha raia yoyote, kinatakiwa kipewe umuhimu mkubwa sana.

Rais Samia ali-post Kwenye ukurasa wake Kwenye Twitter, tarehe 8 mwezi uliopita, apelekewe uchunguzi wa kifo hicho haraka iwezekanavyo.

Leo ni tarehe 3 mwezi Oktoba, inakaribia mwezi mmoja sasa, ndiyo maana sisi wananchi tunaanza kuingia wasiwasi, kuwa huo mwito Kwa vyombo vya uchunguzi, ilikuwa danganya toto!😳
 
Rasi ni mfariji mkuu, anajua hilo na tuwe wapole, ataleta ripoti.
 
Sasa hao Chadema ndiyo wamatwe Sasa,waliokufa si watu? Kwani polisi mfano wameuana wao Kwa wao ndiyo hawatakiwi kukamatwa?
 
Labda wao wataishi milele ila MUNGU atajibu kwa pigo kubwa sana huwezi kuchukua huai wa mtu kisa hizi siasa
 
Tafakari ile animation ya The Citizen iliyopigwa marufuku na wao kuadhibiwa Utapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…