Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Duuh yaani kuna watu bado mna matarajio makubwa na Ikulu kutoa kauli zaidi ya zile "Kifo ni kifo"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika! CHADEMA wanaropoka sana mikakati yao!Hapa Chadema mlikosea kitu kimoja tuu kikayaponza maandamano yenu ya amani yakapigwa marufuku, ni ile kauli mbiu yenu ya maandamano hayo!“Samia Must Go”, hivyo mkaonekana mnahubiri amani huku mmeficha mapanga!.
Naunga mkono hoja.
P
Ulitaka samia afanye nini wakati mchongo mzima anaujua A to Z na ametoa Go ahead ya kuendelea kuteka watu na kuua sisimizi.Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.
Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.
Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.
Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu
Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani
Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.
Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!
Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.
Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.
Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.
Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??
Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??
Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.
Mungu ibariki Tanzania
Wanawajibika vipi na wakati walitumwa kufanya hayo maovuKama wajibu namba Moja wa Jeshi lolote la Polisi Duniani ni kulinda uhai wa raia wake na mali zao.
Najiuliza, hivi ni kwanini hao viongozi kama vile Waziri wa Mambo ya ndani na IGP hawataki kuwajibika Kwa kuwajibika??
Ulizeni familia ya JPM! wamekaa kimya wanajua Delila alichowafanyia.Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.
Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.
Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.
Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu
Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani
Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.
Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!
Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.
Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.
Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.
Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??
Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??
Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.
Mungu ibariki Tanzania
Wow, tumefika huko! Hata shetani anakuonea wivu ulivyo muovu kumzidi.He is dead..... imeisha hiyo watu wanaelekeza nguvu kufanya mambo mengine,
Really? Yaani wewe huumii hata kidogo Mtanzania mwenzako kutekwa, kuteswa na kuuwawa!wanaoumia ni ndugu, marafiki wa karibu.
Sure? Just remember you reap what you sow. Ukipanda dengu utavuna dengu.Thats life!
Damu yao iliyomwagwa bila hatia kamwe haitapita hivi hivi. Lazima iwatafune wahusika.Tundu Lissu aliponea kuuawa tar 7/9 na Mzee Kibao ameuawa tar 7/9
Unamaanisha samia atapotea kama yohana?Damu yao iliyomwagwa bila hatia kamwe haitapita hivi hivi. Lazima iwatafune wahusika.
Yaani katika nchi yoyote inayoendeshwa katika misingi ya sheria, uhai wa raia yeyote ni muhimu sana na lazima Serikali ichukue hatua mara mojaWow, tumefika huko! Hata shetani anakuonea wivu ulivyo muovu kumzidi.
Really? Yaani wewe huumii hata kidogo Mtanzania mwenzako kutekwa, kuteswa na kuuwawa!
Sure? Just remember you reap what you sow. Ukipanda dengu utavuna dengu.
Mzee P. Wenye akili wanatotautisha maneno na vitendo. Jeshi letu halipaswi kutetemeshwa na maneno. Sema waliteki advantage kama walivyozuia na kupiga vijana kule mbeya basi!!!Hapa Chadema mlikosea kitu kimoja tuu kikayaponza maandamano yenu ya amani yakapigwa marufuku, ni ile kauli mbiu yenu ya maandamano hayo!“Samia Must Go”, hivyo mkaonekana mnahubiri amani huku mmeficha mapanga!.
Naunga mkono hoja.
P
Mama yupo kazini na kama unakumbuka ameagiza uchunguzi, sasa mnataka kila hatua ya uchunguzi atoe taarifa?Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.
Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.
Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.
Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu
Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani
Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.
Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!
Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.
Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.
Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.
Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??
Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??
Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.
Mungu ibariki Tanzania
Kwani kina utata?Uchunguzi wa kifo cha JPM! Mbona walipiga kimya,sembuse Ally Kibao
Kifo Cha raia yoyote, kinatakiwa kipewe umuhimu mkubwa sana.Mama yupo kazini na kama unakumbuka ameagiza uchunguzi, sasa mnataka kila hatua ya uchunguzi atoe taarifa?
Tuache vyombo vyenye mamlaka vichunguze!
Rasi ni mfariji mkuu, anajua hilo na tuwe wapole, ataleta ripoti.Kifo Cha raia yoyote, kinatakiwa kipewe umuhimu mkubwa sana.
Rais Samia ali-post Kwenye ukurasa wake Kwenye Twitter, tarehe 8 mwezi uliopita, apelekewe uchunguzi wa kifo hicho haraka iwezekanavyo.
Leo ni tarehe 3 mwezi Oktoba, inakaribia mwezi mmoja sasa, ndiyo maana sisi wananchi tunaanza kuingia wasiwasi, kuwa huo mwito Kwa vyombo vya uchunguzi, ilikuwa danganya toto!😳
Angekufa mama yako au baba ako ungeadika huu ujingaDuuh yaani kuna watu bado mna matarajio makubwa na Ikulu kutoa kauli zaidi ya zile "Kifo ni kifo"?