Kimya Cha Rais Samia kuhusu kifo cha kiongozi wa CHADEMA, Ally Kibao, kinaanza kutia wasiwasi mkubwa

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
MUNGU akubariki kwa hili ANDIKO
 
Yaani katika nchi yoyote inayoendeshwa katika misingi ya sheria, uhai wa raia yeyote ni muhimu sana na lazima Serikali ichukue hatua mara moja

Tujikumbushe kidogo katika miaka Ile ya 70, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani, Alhaji Hassan Mwinyi alijiuzulu kutokana na mauaji yaliyotokea huko Shinyanga.

Ni kwanini nyakati hizi, Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na IGP, Camilius Wambura hawataki kujiuzulu kutokana na kifo Cha Ali Kibao na kutekwa Kwa viongozi wa CHADEMA akina Soka na wenzake??
Hata wewe mwenyewe unafahamu finally kiwa hawawezi kujiuzulu wala kuwajibishwa na Mamlaka za Teuzi kwa sababu ya....
 
Naamini kuwa maombi Kwa Mungu, Yana nguvu sana na kama majibu yake yasipokuja leo au kesho, bado naamini ipo siku Mungu aliye Mkuu kuliko kitu chochote hapa Duniani atatoa majibu tuuu.
Full Stop
Mambo yana badilika siku zote hivyo tuombe au tusiombe hayawezi ishi milele.
Sababu ya mambo kubadilika ni kupitia watu wenyewe.
Ikiwa binadamu ndio hufanya mambo kubadilika kila wakati, je tuchukue hatua gani stahiki?
 
Hata wewe mwenyewe unafahamu finally kiwa hawawezi kujiuzulu wala kuwajibishwa na Mamlaka za Teuzi kwa sababu ya....
Kama hawawezi kujiuzulu Wala kuwajibishwa na mamlaka zilizowateua, je hao watawala wetu, hawaoni namna Jamii ya watanzania na Jamii ya kimataifa itakayotutafsiri kuwa sisi watanzania ni Jamii ya hovyo sana??😳
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.

Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.

Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania

Wameshambreaf kilichofanyika na sababu zao. Itabidi akae tu kimya mpaka tusahau.
 
Wanataka big result now, ama kushuhudia anaye jitekenya akicheka.

Hivi kauli mbiu ya "Big result now" iliishia wapi
Ni lini ccm iliendeleza kauli mbiu zake? Jembe na nyundo tu zenyewe zishachakachuliwa.
Siku hizi kuna magari na tumbo!🤣😂🤣
 
Isije ikawa hata yeye hajui whats going on, Yaani na yeye anashangaa kama ww, like whats the https://jamii.app/JFUserGuide z going on in my country 😃
 
Ni lini ccm iliendeleza kauli mbiu zake? Jembe na nyundo tu zenyewe zishachakachuliwa.
Siku hizi kuna magari na tumbo!🤣😂🤣
Ile alama ya Jembe na Nyundo, ilikuwa ni enzi za Mwalimu Nyerere.

Ni kweli hivi sasa, hilo Jembe na Nyundo vimesha-expire na hivi sasa vitu vinavyo-trend ni Mashangingi na ku-own Makasri ya kufa mtu,😳
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.

Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.

Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
Wasiwasi wangu ni kwa Soka na wenzake maana siku zinaenda na mamlaka zote zimekana kuwashikilia nahofia ya Ben Saanane 😥
 
Ile alama ya Jembe na Nyundo, ilikuwa ni enzi za Mwalimu Nyerere.

Ni kweli hivi sasa, hilo Jembe na Nyundo vimesha-expire na hivi sasa vitu vinavyo-trend ni Mashangingi na ku-own Makasri ya kufa mtu,😳
Magari, majengo, mahirizi, mapete, mademu na machawa
 
Kama hawawezi kujiuzulu Wala kuwajibishwa na mamlaka zilizowateua, je hao watawala wetu, hawaoni namna Jamii ya watanzania na Jamii ya kimataifa itakayotutafsiri kuwa sisi watanzania ni Jamii ya hovyo sana??😳
Anayetakiwa kujiuzulu na anayetakiwa kumuajibisha walikaa kikao kabla na kukubaliana kufanya mambo fulani huko msituni kama tulivyoelezwa na yule aliyewahi kuwa Disii wa Longii.
 
Wasiwasi wangu ni kwa Soka na wenzake maana siku zinaenda na mamlaka zote zimekana kuwashikilia nahofia ya Ben Saanane 😥
Hiki kimya kizito kinachoendelea, kinaonyesha dhahiri kuwa hawa kina Soka na wenzie, maisha yao yana asilimia ndogo sana kuwa bado wapo hai!😭
 
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita.

Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake kutupwa huko Kwenye kichaka, maeneo ya Ununio.

Nipende kunukuu post yake aliyoi-post kwenye ukurasa wake wa X, zamani Twitter kama ifuatavyo:-
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao, natoa pole Kwa viongozi wa chama hicho, familia, ya Mzee Kibao, ndugu na jamaa zake.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii HARAKA.

Nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI.
Serikali ninayoiongoza HAIVUMILII vitendo vya kikatili vya aina hii"
Mwisho wa kunukuu

Hivi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio hilo baya kabisa, litokee naona bado kimya kizito kinaendelea kutawala kuhusiana na kifo hicho, ambacho kimetuharibia sana sifa yetu kimataifa kuwa hii nchi ni ya amani

Watanzania tungetegemea baada ya hili tukio baya kabisa kutokea, Moja Kati ya haya mambo mawili yatokee.
Aidha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni, DGIS, Suleiman Mombo na IGP, Camilius Wambura wajiuzulu mara moja au mamlaka iliyowateua, ambayo ni Rais iwatengue.

Kwa bahati mbaya sana, hakuna lolote lililotokea Kati ya hayo mambo mawili!

Chama Cha CHADEMA, kiliandaa maandamano yake ya amani tarehe 23 mwezi uliopita, Ili kuomboleza kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao aliyetekwa na baadaye kuuawa kinyama na kulitaka Jeshi la Polisi, lieleze wako wapi viongozi wao waliotekwa, akina Deus Soka na wenzake.

Hata hivyo maandamano hayo ya amani, ambayo yanaruhusiwa Kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, hayakufanyika kutokana na Jeshi letu la Polisi kuyapiga marufuku na kuimarisha ulinzi wa hali ya juu, jijini Dar.

Aidha Chama Cha CHADEMA kimemtaka Rais Samia aunde Tume huru ya kijaji, pendekezo ambalo pia inaelekea limekataliwa na Rais Samia.

Kwa kuwa kama akivyoeleza Rais Samia mwenyewe kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia na Kila raia ana HAKI YA KUISHI, sasa sielewi ni kwanini anagomea kuundwa Kwa Tume huru ya kijaji , kuchunguza kifo hicho Cha Ali Kibao??

Sasa ningependa kumuuliza Rais Samia, je huo uchunguzi ulioutaka ufanywe haraka iwezekanavyo na ripoti ya uchunguzi huo ikufikie wewe, bado haijakufikia Hadi sasa inakaribia mwezi mmoja tokea tukio Hilo limetokea??

Swali la Pili, hivi inakuwaje katika tukio baya hili kama wewe mwenyewe ulivyonukuliwa ukisema katika post yako katika ukurasa wako wa Twitter, leo inakaribia mwezi mmoja, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali yako??

Kwa kweli katika hatua tuliyofikia Taifa hili, inabidi wananchi tuendelee kuliombea Ili lirejee kuwa ni Taifa la Amani kama lilivyokuwa hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania
ulitaka ajambe?
 
Back
Top Bottom