Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Shida mnaangalia sana wavaa milegezo na hereni masikioni. Sisi wavaa mikanda kiunoni mnaturuka, nyota njema uonekana asubuhi.
ndugu wewe,,ni wavaa mikanda tena kila jumapili wapo ibadani,,,bora hata upate mwenza bar ieleweke kuliko hawa waficha makucha
 
Kuna mwenzio aliniambia hivyo baada ya kupata mtoto wa kwanza viapo tele, kwa sasa anao watatu na yule yule na bado anakula viapo kila leo.
mpuuzi huyo,,ila huyo sio mimi coz wapo wanaofanya ivo na wasiofanya ivo,,hatufanani na tunatofautiana matukio.
 
Itabidi uwe mtulivu sana kwenye kuchagua mwenza.
Kuchagua mwenza inahitaji kujua basic calculations juu ya aina za watu hawa {+, -, *, Γ·}. Principle ipo hivi according to Isaya 34:16,kuwa hakuna hata mtu mmoja atakayekosa mwenza wake. Sio kila mwanamke /mwanaume anaweza kuwa mkeo/mumeo. Mungu ni smart sana.
 
na bado nini,, sijawahi angalia nyuma mimi kamwe πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜ndo nachojipendea yakheee
Naomba nisikujibu inavyopaswa maana ndio utasema kabisa nakuchukia πŸ˜‚

Kule umekimbia.
 
Naomba nisikujibu inavyopaswa maana ndio utasema kabisa nakuchukia πŸ˜‚

Kule umekimbia.
ata sijali mimi that's why hua nacheka tu🀣 njemba za jf ........au basi utasema nakudharau

Mbona sijaona ngoj nkaangalie
 
ata sijali mimi that's why hua nacheka tu🀣 njemba za jf ........au basi utasema nakudharau

Mbona sijaona ngoj nkaangalie
We cheka tu ila umenichekesha sana msabato πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…