Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Wanaume tafuteni hela no excuse
Maana hapa naona wanaume ambao uchumi wao haueleweki wanalazimisha maji yapande mlima. Hell no.
Mungu amewapa mamlaka ya kutawala Ila ili hayo mamlaka muyatimize kwa asilimia zote Moja ya sharti ni wewe kuwa breadwinner (sasa usilazimishe kuingia na mwanamke kwenye ndoa kama huna uwezo wa kumhudumia mahitaji yake).
Ndo maana mnapoteza nguvu ya mamlaka yenu ya asili kwa kutaka mhurumiwe na wanawake. No. Haki huambatana na wajibu.
Nipigeni mawe
 
Back
Top Bottom