Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Mi ni mbibi, nafanya sana mazoezi ya kutembea kando ya barabara. Siendi gym kwa sababu sina malengo hayo.
Kuna wakaka/wababa wanavaa vile sijui vinaitwaje ni vichupi ana sijui niji kama wavaazo wanaocheza michezo ya kuogelea yani vinaonesha maumbile yote kama yalivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanatafuta basi watakutana na Wahitaji...sasa tatizo hapo ni nini?
 
Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi?

Au labda kukimbia barabarani kunaongeza ufanisi wa mazoezi? Sasa tazama nguo wanazovaa vs maumbilie yao, tazama maeneo ya barabara wanapofanyia hayo mazoezi, tazama na muda pia. Kisha jumlisha, unipe jibu.

Mimi hesabu zangu zimeniletea majibu mazuri, "Mazoezi barabarani ni njia ya kina dada kujipatia wanaume. (huwenda sio wote)
UNAKASIRIKA NN
Ulitakaa WAJIPATIE WANAWAKE??
 
TAMAA ZENY NDIO ZINAWAFANYA MNAWAZA UZINZI MDA WOTE

NJOO PALE BEACH RAINBOW UONE NGUO ZAO SIJUI UNGESIMAMISHA MARANGAPI... MWAKAWANNE SASA WAPO NA TUNAHESHIMIANA VIBAYASANA NA WENGINE WAMEFUNGANDOAKABISA
 
WENGINE WAKIFIKA. Maofisini wanaenda beach sababuyakuwnglia waPateusingizi
Embutuachieni mauwayetujaman
 
Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi?

Au labda kukimbia barabarani kunaongeza ufanisi wa mazoezi? Sasa tazama nguo wanazovaa vs maumbilie yao, tazama maeneo ya barabara wanapofanyia hayo mazoezi, tazama na muda pia. Kisha jumlisha, unipe jibu.

Mimi hesabu zangu zimeniletea majibu mazuri, "Mazoezi barabarani ni njia ya kina dada kujipatia wanaume. (huwenda sio wote)
Nilishawahi uliza hivi watu wa huko mbona mnapenda kuongelea na kudadisi life la mtu asie kuhusu mfn sec chuo kila mtu na maisha yake kwa nini umjadiri mtu wakati wewe mwenyewe dada kaka uwezi kumzibiti sio poa machalii!ukiona msichana mpaka anafika kidato cha 5 mpaka chuo anajitambua usituletee sela zako kama uwezi fanya kama mie nikiwa mwenge nikiwa naenda ubungo nakaa upande wa konda nikiwa ubungo naenda mwenge nakaa upande wa dereva siwezi uona
 
Ungesema unaona wanasimamishwa na wanaume wanatongozwa au wakiwa wanafanya mazoezi ukipita na gari lako wanasimama au wanakufuata kama wale wa Ambiance hoja yako kuwa wanafanya ufuska ndio ingekua na mashiko

Wanawake wapo zao busy wanafanya mazoezi wewe udenda unakutoka, hebu kajaribu kumsimamisha yoyote ili umtongoze uone kama utaambulia lolote
 
Wengi wakosa kaziiii
Mazoezi hayo hayafai,wanauumiza Mwili kwa kuvuta hewa chafu ya exhaust.
Wengine wanakimbia kando ya barabara tena bila kuvaa reflector, sio madereva wote wanaona vizuri .na si taa za Magari yote ziko vizuri,zingine hazioni vizuri .Madereva wengine wamelewa,kiujumla hasara ni kubwa kuliko faida.Hiyo ni kwa wote ,pia wanaume.
 
Back
Top Bottom