sindesunde
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 358
- 348
Zama zipi sio didimia tupe ufafanuzi!noma sana dunia hii. Na hv zana zimeadimika sa itakuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zama zipi sio didimia tupe ufafanuzi!noma sana dunia hii. Na hv zana zimeadimika sa itakuaje
ZANA SI ZamaZama zipi sio didimia tupe ufafanuzi!
Alafu ikawaje,ulitazama tu,au hapo hapo.lakini si kosa lako ni kosa LA fikra za mlengo wako.Kwer mkuuu nilisha wahi waona kama wawili hvi barabara ya UDSM kuelekea ARDHI wanayatikisa ma msambwanda balaaaa nguo imechora kila kituuuu
Hahahaáa kumbe nimeandika kilingala teteeeeZANA SI Zama
Ni hatari Sana kukimbia kando ya barabara ambayo Haina njia ya watembea kwa miguu. Huku magari yakienda Kasi.Mazoezi hayo hayafai,wanauumiza Mwili kwa kuvuta hewa chafu ya exhaust.
Wengine wanakimbia kando ya barabara tena bila kuvaa reflector, sio madereva wote wanaona vizuri .na si taa za Magari yote ziko vizuri,zingine hazioni vizuri .Madereva wengine wamelewa,kiujumla hasara ni kubwa kuliko faida.Hiyo ni kwa wote ,pia wanaume.
Wengi hawajui hilo wanakimbia kwa show-off tuNi hatari Sana kukimbia kando ya barabara ambayo Haina njia ya watembea kwa miguu. Huku magari yakienda Kasi.
TrueWengi hawajui hilo wanakimbia kwa show-off tu
HongeraMI nawapenda sana wanafurahisha
Umkute amevaa Shanga utafurahi zaidikuna mzee fulani alikuwa kwenye ndinga akamuona binti anapanda boda yule mzee aliifukuza ile boda mpaka mwisho akaenda kuomba namba
ufuska mwingine wa kina dada ni kupanda bodaboda alafu kiuno kipo wazi na hajavaa chupi,hii nimeona zaidi ya mara tatu
Ha ha hakuna mzee fulani alikuwa kwenye ndinga akamuona binti anapanda boda yule mzee aliifukuza ile boda mpaka mwisho akaenda kuomba namba
ufuska mwingine wa kina dada ni kupanda bodaboda alafu kiuno kipo wazi na hajavaa chupi,hii nimeona zaidi ya mara tatu
Umkute amevaa Shanga utafurahi zaidi