Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Hakuna mazingira mwanaume anaweza vaa nguo Itakayoleta Usumbufu Kwa Mtu mwngine , epecially linapofika vazi la Mazoezi.
kwa kuwa wadada hawalalamiki ndio unadhani wanakubaliana na kila mavazi wanaume wanayovaa au kutokuvaa? Ni kwamba tu wanaheshimu uhuru wenu kama wanavyotegemea wanaume mheshimu uhuru wao!
 
Jamani Darisalama kutamu..sasa na hii style imeanza lini?..da ngoja nizichange nirudi mjini walahi..yaani vituko ni bampa 2 bampa..
SIO DAR TU HATA HUKU MAKAO MAKUU IPO HIYO.NJIA PANDA YA WAJENZI - AREA "D"
 
Ngoja nipite hivi naweza kukutana nao
 
Mkuu unatoka kule kwa Ayatollah nini?
Acha watu wafaidi uhuru wa nchi yao bana, we ukiona dada anafannya nazoezi na anakuamsha vitu vilivyo lala, fumba nacho.

Mi nina enjoy sana kuona mwamko wa watu wote, vijana kwa wazee, kufanya mazoezi.
 
Daah! Kila anachofanya mdada ni kutafuta wanaume?
Kukimbia barabarani ni mazoezi mazuri kweli... Nchi za wenzetu wanatengenezewa barabara zao za mazoezi ila sisi barabara tulizobaki nazo ndo hizo.. Tuvumiliane tu
 
Mkuu njoo ujionee na huku University Rd, Sam Nujoma Rd
 
Ila ni kweli asee maana maeneo ya sarenda kuna misambwanda inapitaga balaa lake ni km padri aliyelishwa tende.
 
Labda ungesema hawa wanaokimbia kwa mfano Arusha kuanzia sakina mpaka ngaramtoni ni hatari sababu barabara ni high way na ina malori mengi uwanaweza wakafa kwa ajalii.
Mazoezi ni kitu bora kwa afya zetu kuhusu kuvaa hata waliovaa gurka wanatamaniwa
 
Mimi nakuunga mkono kwa 100% kuna maeneo ya baharini ambayo ni mazuri kwa mazoezi lakini utayaona ni madada yakionyesha hata sehemu za chupi zao kwa Juu ati wako mazoezini. Wengi utembea umbali Fulani kisha ugeuza na kurudi ofisini ati ili kuchukua lifti ya kumrudisha nyumbani. Kiukweli huu ni zaidi ya Ufuska mtupu
 
Nishawahi tukanwa na mrs kwa ajili yao,
Mate yalitaka kumezwa nikawa najizuia nikaulizwa nini tatizo langu?
Sikujibu lakini mate yalikuwa yamejaa mdomoni wala sikujua sababu yake!

Sikuwa na namna nyingine bali kumeza tu na kubadirisha maada na sidhani kama ilikubalika.
 
Mnasababisha ajali acheni upuuzi..! Kitumbua kimetuna kwenye track mpaka mtu unasahau njia na gari linaingia mtaroni.


Pumbavuwee! Uhayawani uliobeba kichwani kwako ndio unaosababisha uache njia uingie mtaroni
 
Pumbavuwee! Uhayawani uliobeba kichwani kwako ndio unaosababisha uache njia uingie mtaroni
Mpumbavu wewe usiyejua nguvu kitumbua kwa mwanaume...![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huko kwenu wanaokimbia pembeni ya barabara ni wanawake peke yao? Huku kwetu wanakimbia wote wanaume na wanawake. Sasa sijui na hao wanaume wanafanya ufuska??
 
Siwezi kufanya Mazoezi barabarani, gym zipo viwanja vipo..... Mwisho niangukiwe na kontena kisa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa Mkuu Wanawake wanaweza bhana alaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…