Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhSaint Ivuga kaninunulie na mimi basi halafu nakuja zijaribishia kwako
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapa nasubiria nione na uzi wa mdada akiomba ushauri kwa wakaka duka linalo uza boksa nzuri za wanaume....[emoji12] [emoji12]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi nausubiri kwa hamu huo uzi maana lazima nijue boksa wanazozipendaHapa nasubiria nione na uzi wa mdada akiomba ushauri kwa wakaka duka linalo uza boksa nzuri za wanaume....[emoji12] [emoji12]
Ukiuliza nitakushauri tu mkuu...[emoji12] [emoji12][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Na mimi nausubiri kwa hamu huo uzi maana lazima nijue boksa wanazozipenda
Usijali mkuu.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wakikuja naomba unitag
Amesema za kike!Blaza unataka chupi za kike za nini?
Au aende secret lingerie..[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah kweli, tunataka kujenga ,hatutakiwiSi wajua kwenye miti hapana wajenzi.
Wapi huko?Dah kweli, tunataka kujenga ,hatutakiwi
We unajua Ila basi tu unazugaWapi huko?