FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #221
hehehehe!Kumbeeeeeeeeee.... Hujambo Geoff (I hope this is not name calling)
..........EE BIKIRA MTUKUFU NA MWENYE BARAKA
BIKIRA MARIA MAMA WA NEEMA NA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI.............!UTUOKOE SISI WENYE KUKIMBILIA KWAKO
TUOMBEEEEEE..._(askofu tafadhali...)
hehehehe!
naona baba-askofu umechoka kupost hapa
mi simo bwana
hahahahaha!Tunakuomba eeh bwana... ukasitishe udumishaji mila...
...nawalaumu wote wawili.
Namlaumu mkaka kwa kutomuweka wazi mpenzi wake, na huyo mdada kwa kujichukulia maamuzi ya papara!
Wanaume wengine sijui tukoje. Ushaona umemuweka mtegoni binti, ya nini danadana nyiiingi?.. wengine wanapata hisia unamtumia kisha uoe mwingine.
Ingekuwa wewe Mwanaume unamtaka Mw'mke kwa udi na uvumba, mbio ungekimbilia kwa Wakwe!... na hizi tamaduni, mila na desturi zetu za kiafrika.... unajua ukishambandika Mimba tu, au dau kubwa...binti hana pa kutokea...
Wapendwa kumbe mmejificha huku?
Nimewatafuta Jamvi zima.
Jamani moja ya vitu ambavyo vinaleta hasira kwa wanawake katika mahusiano ni kuchezewa na hatimaye mwanaume haonyeshi dalili ya kukuoa.
Alichofanya huyo dada ni mbinu yake ya mwisho ambayo mara nyingi hufanikiwa na ndio maana anapogundua haijafanikiwa anajaribu mbinu nyingine ya kutishia kujiua.
Msimlaumu wapendwa kwani yamemkuta.
siku hizi imekaa 'kuchezeana' zaidi bana!!Hapo kwenye red ndio mnapokosea. Kwani alibakwa? Sielewi mtu ulale na mwanaume, nawe ushiriki starehe hiyo halafu ndio mwinginw awe amekuchezea. Inaingia akilini hiyo kweli? Hapa ndipo makosa yanapofanyika. Umeamua kuvua nguo umeji cheapen mwenyewe, hayo ya kukuoa kwani mliagana? Wengine "wanachezewa" as you put it, wanadeki, wanafua nguo, ijumaa tayari umeshajimuvuzisha kwenye gheto, anapata wapi sababu ya kuoa wakati mke tayari anaye. Halafu mambo yakigeuka basi umechezewa, haya bwana
Kuna kitu jamaa anampatia huyo binti kiasi kwamba anataka kubinafsisha ili jamaa asioe mke mwingine
Ndoa hupangwa na Mungu. Dadaa kaamua kutumia njia ya mkato kushinikiza kwa kutumia kigezo cha mimba na baadae mtoto kuwa ni kiunganishi jambo ambalo si kweli na ndiyo tabia iliyopo kwa baadhi ya wadada siku hizi. Ndoa kama ipo Mungu huweka baraka zake na kufanyika,hakuna shortcut. Hiyo imekula kwake,alee tu mtoto ikitokea jamaa akaamua kuhalalisha hiyo ni bahati kwake.
Hapo kwenye red ndio mnapokosea. Kwani alibakwa? Sielewi mtu ulale na mwanaume, nawe ushiriki starehe hiyo halafu ndio mwinginw awe amekuchezea. Inaingia akilini hiyo kweli? Hapa ndipo makosa yanapofanyika. Umeamua kuvua nguo umeji cheapen mwenyewe, hayo ya kukuoa kwani mliagana? Wengine "wanachezewa" as you put it, wanadeki, wanafua nguo, ijumaa tayari umeshajimuvuzisha kwenye gheto, anapata wapi sababu ya kuoa wakati mke tayari anaye. Halafu mambo yakigeuka basi umechezewa, haya bwana
Ni vyema ikala kwake kwa sababu hakushirikisha ubong. ingekuwa mimi huyo mwanaume ningemletea sumu ya panya kabisa ili anywe.
kwa vile hii sredi imekimbia sana nimeona ni bora tuelekee studio za JF kupata kidurudisho cha kupumzisha akili kidogo.
OOO MAYASAAA ,MAMA MAYASAAA ,OOO MAYASAAAAA UZURI NI WA KUZALIWA NAOOO
OOO MAYASAA NAKWAMBIA KWELI MAMAAA ALIEKUUMBA SI MUJINGA
OO MAYASAA MAMA MAYASAA.OOO MAYASA UZURI NI WA KUZALIWA NAOO
SOURCE: Marijani Rajabu.
ni mimi DJ wenu Klorokwini a.k.a Pafyumu ya Jasho
Mimi nina rafiki yangu mwanadada anafanya kazi benk. Yeye baada ya laghau nyingi oooh mara nakupenda mara hivi, akaona wote wenye kaptula walewale. Najagundua kitumbo hicho miezi kadhaa namuuliza vp bila hata sendi ofu. Kanijibu eti hata baba wa huyo mtoto hataki ajue maana uwezo wa kumlea anao na haitaji mwanaume. Anadai akitaka kitabu ataenda library kuazima asome akichoka anarejesha!
HA HA HA HA!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:kwa vile hii sredi imekimbia sana nimeona ni bora tuelekee studio za JF kupata kidurudisho cha kupumzisha akili kidogo.
OOO MAYASAAA ,MAMA MAYASAAA ,OOO MAYASAAAAA UZURI NI WA KUZALIWA NAOOO
OOO MAYASAA NAKWAMBIA KWELI MAMAAA ALIEKUUMBA SI MUJINGA
OO MAYASAA MAMA MAYASAA.OOO MAYASA UZURI NI WA KUZALIWA NAOO
SOURCE: Marijani Rajabu.
ni mimi DJ wenu Klorokwini a.k.a Pafyumu ya Jasho
Asante sana Klorokwini hivi ile miziki ya JF siku hizi inapatikanaje ..kila nikitaka kuingia kwenye music naona maneno mawili yamebebana new post na music inakuwa haiwezekani kwa kweli bwana
[/U]
hii kali duh maamuzi ya kipalestina